Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aiseee hatari sanaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ya baba yako bhasiii...!! Kujikuta wa mjini kumbe kengee mmoja tu
 
Juzi tu nilipanda bajaji eti fala anadai nauli Buku sababu sijui alikuwa na kadada mule ndanii me nkamwambia nilijua 500 ndo nauli ya utaratibu eti ooho kila mtu na utaratibu wake.. Akawasha bajaji akaanza kwenda akasimamisha mbelw kidogo ananiita eti bro njoo upande atakulipia sister nikamjibu nishaita Ubber[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] akawasha kibajaji akasepaaa ikaja bajaji nyingine nikapandaaa kufika mbele kidogo naoma jamaa anapiga debe nauli 500 ile pisii ilikuwa ishashukaaaa falaa sanaaaa mbwa yuleee jusii kengeee yuleee..
 
Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengoπŸ˜‚πŸ˜‚ wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu siyo Kenny G ni Kenny Rogers ( the coward of the county)
 
Baada ya kumaliza chuo miaka hiyo nilienda mkoa x sasa ikatokea tu nimekuwa urafiki na mrembo fulani na amekuja kuwa mtu maarufu kwa sasa hapa tz.
Sasa kipindi hicho ilikuwa lazima kile wikiendi tutoke out na ilikuwa ni zamu wiki hii yangu wiki inafuata yeye, alikuwa na vi-bussiness vyake kwa hivyo ela ya kula sio ishu plus wanaume walikuwa wahonga na wanajigonga hovyo hovyo na alikuwa akiniambia kabisa jinsi watu wanafunguka na mimi pia nilikuwa najishtukia naona kabisa huyu hii sio level tangu..
kipindi hicho nilikuwa namiliki mashamba ya umwagiliaji hivyo j3 mpaka ijumaa kisha narudi mjini weekend .sasa nikija mjini nakuja na kiasi kamili 50000 tu kuspend ili nibalance hesabu sasa uchumi ukajumba mvua hainyeshi hela ya kuspendi naitumia kwenye vibarua..
aisee nilimis zile out mpaka nikajiona mnyonge nikampigia ndugu yangu mmoja anikopeshe laki tano kwamba nimepata matatizo nikatumiwa chapu sababu tu dogo analalamika zamu zangu nazingua...
Nilitumia tu kama 150K kwenye hizo out kisha from no where nika-change laini na nikapotea mazima mjini nikawa siendi tena niliona huyu dogo sio level yangu acha atafute mwanaume mwenye maisha mimi bado nilikuwa napambana tulikuja kukutana arusha ila bado nilimkazia mno mpaka nikaona hatia ila basi niliona ibaki hivyo!
 

Una tabia Kama ya jamaa fulani
Huwa nakunywa chai sehemu 1500-2000 kwa Kikombe

Ila wakati wa kulipa lazima atoe bundle la 1m achomoe 10,000 ndo alipe
Sijui huwa anamaanisha nini
 
Huu uzi umenifundisha mambo mengi maana kuna wakati napita kwenye viwanja naona watu wanatumbua pesa mpaka najiuliza hivu hawa wenzangu pesa wanazipataje
Kumbe wakirudi wanaenda kunywa diclopa kupunguza maumivu[emoji23][emoji23]
 
Sifa mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muone
 
Tangu useme unavaa Majuba umeshanichanganya, hapa Nataka nikushauri ununue bando ili Niendelee kukuona online wakati Kula ni Muhimu kwa mwanadamu... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji41][emoji41][emoji125][emoji125] Ngoja Ni log out. Ninakoelekea kubaya.
Endelea uchapwe viboko mia moja[emoji51][emoji51]
 
Nieleweshe Dr[emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…