Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Kutoa million 20 kwa siku ?? 😅😅Siyo kuhama bank... Omba kadi ya high class unaweza kutoa hadi million 20 kwa siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoa million 20 kwa siku ?? 😅😅Siyo kuhama bank... Omba kadi ya high class unaweza kutoa hadi million 20 kwa siku.
Visa infinite ya CRDB ina maximum 25M TZS kwa siku.Kutoa million 20 kwa siku ?? 😅😅
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aiseee hatari sanaaNlinunua mkungu wa ndizi kwenye harambee baada ya kuona madem pale chapo nmenyoosha mkono wananiangalia kwa macho ya wewe shusha huo mkono uwezi panda hapo nikapandishana na wazee wale wa benki nikaishia laki mbili nilijua wangepanda zaidi ili niachie pale
Watu si wakauchuna laki mbili yangu ikanitoka nililia hadi kamasi
Nkaenda kuuza kwa mama ntilie kwa arubaini alfu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ya baba yako bhasiii...!! Kujikuta wa mjini kumbe kengee mmoja tuMy bad timeline yangu ndo haikua sawa, 2017 ndo nili purchase iphone 6 plus kwa 500k na kulikua na option ya kuisubiri kutoka china kwa 350k!! Iphone 6 plus haija wahi uzwa 1.6m mwaka 2016!!! Hakuna hiyo kitu. Na by then iphone 7 ilikua available kwa price hiyo it means ilikua ina range kati ya 2-3m haya wewe mjanja wa mjini tuambie kama hili lina ukweli??! Mshajionaga jamii forums ya baba yenu pumbavu.
Hujanielewa bado chiefVisa infinite ya CRDB ina maximum 25M TZS kwa siku.
Na wala usishangae
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo😂😂 wakawa na wasiwasi kama nina hela.Jana nimeingia salon moja kali sana, ikabidi niulize bei ya kunyoa nikaambiwa 7,000/-. Nilitaka kukimbia ila nilipoangalia zile pisi mle ndani ikabidi nivimbe Nika nikanyoa nikalipa 7000 nikabakiwa na 3000/- siku ikaisha.
Mkuu siyo Kenny G ni Kenny Rogers ( the coward of the county)Hii inakubalika kabisa, Mimi nilikua Kasulu, nikawa na mazoea kwenda Bar kuangalia mpira, Kila nikienda pale naagiza maji, basi wahudumu wakawa wananipotezea. Hawana mzuka wa kunihudumia.
Basi, nikarudi Tena nakumbuka ilikua game ya Simba, wakagoma kunipa hata Kiti, akanihudumia Dada mmoja hakua na makuu, kwa hasira nikaagiza Castle Light 20. Nikamwambia Kaa hapa, hizi ni za kwako na yule mwenzio aliyenihudumia Jana.
Hahahahaha 🤪 sometimes you got to fight to prove you're a Man (Kenny G)
Achana nae, hata card ya kawaida unatoa fresh kabisa, tatzo wa kuleta ujuaji kwa jambo ambalo halijuiYa kwangu ni tembo gold, natoa hadi 5m kwenye ATM
Tena wanakuuliza mara tukuogeshe, tukuoshe miguu, tukuoshe kichwa. Ukizubaa unaibiwa.Ukiingia pisi zinaanza kukushika shika mabega na shingo. Lazima ulegee
Hujanielewa bado chief
Namaanisha million 20 kwa siku umekua dangote [emoji28][emoji28]
Mkuu sasa ningefanyaje na nataka kujenga jina nile mbusususu? Mateso tunapitiaga wanaume ni noma sanaNimecheka na niko kwenye daladala
Umenikumbusha aisee mara ya kwanza kuingia hizi mnazoita barbar shop nilikuwa najiandaa kupeleka mahali ukweni, nilikuta vipisi humo ndani asikwambie mtu, sina hili wala lile naiona pisi inanishika shika kichwani inaniuliza unahitaji huduma gani Nilipata mshtuko wa ajabu, halafu wote wakajua na wakaona mshtuko wangu, wakatafsiri kuwa nimevamia mtumbwi wa vibwengo[emoji23][emoji23] wakawa na wasiwasi kama nina hela.
Wakati wa kulipa nilitoa burungutu la wekundu wa msimbazi kama 500k nikatoa 20k nikalipa. Vile vipisi vilitoa ukelele fulani hivi vya kujutia na sikuvipa hata shilingi 1[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi[emoji16],nilivyo bahili sasa,naweza jisababishia shida ya huu moyo spana mkononi[emoji23][emoji23]Tubataka story yako uliyojimwambafai bhana....
Kumbe wakirudi wanaenda kunywa diclopa kupunguza maumivu[emoji23][emoji23]Huu uzi umenifundisha mambo mengi maana kuna wakati napita kwenye viwanja naona watu wanatumbua pesa mpaka najiuliza hivu hawa wenzangu pesa wanazipataje
Sifa mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah nakumbuku ilikuwa kibondo hiyo nipo na wanangu kama wanne iv na mimi watano tulikuwa tunacheki game ya simba na yanga kwenye bar moja iv ya wanajeshi sasa mimi na crew yangu huwa tukikaa sehem tunapendelea kunywa sana spirits hasa k vant sio kwamba pesa hamna pesa ipo sana tu ila ni pombe ambayo tulitokea kuipenda sana! Sasa wakat tumekaa tunaendelea kucheki game maana crew yetu wote ni yanga na tulikuwa tunakunywa k vant kubwa tuna share wote watano mbele yetu kuna jamaa mmoja alikuwa anakunywa serengeti light yeye alikuwa ni mshabiki wa simba
Sasa kwenye utani na kushangilia jamaa akawa kama anatumind iv mixer dharau nyingi mara jamaa akaropoka “ nyie vipi nyie kwanza mnakujaje sehem kama hizi kundi alafu mnakunywa k vant moja watu 5 mnajaza nafasi tu pisheni watu wenye pesa zao wakae hapo” dah haya maneno tulivyoyasikia tukaangaliana kwanza alafu tukacheka mimi nikasema ngoja nimuoneshe huyu jamaa kwamba sio kila anae kaa sehem nzuri akanywa kitu cha bei ndogo sio kwamba hana hela ni maamuzi tu!
Basi nikamwita mhudumu nikaongea kwa nguvu nikamwambia mpe huyo jamaa shabiki wa simba creti la bia anayo kunywa alafu mwambie shabiki wa yanga anae kunywa k vant amekununulia! Kweli jamaa akapewa creti na akaambiwa kuwa limetoka pale jamaa akawaka hamna pesa ya kuninunulia bia nyie akamwambia mhudumu rudisha nitanunua kwa pesa yangu kweli akatoa pesa nikarudishiwa hela yangu ya creti moja mara jamaa yangu mwingine na yeye akasema mpelekee creti jingine mhudumu akapeleka jamaa wa simba akajifanya kuvimba aka punch tena akasema pesa ninayo na nunua mwenyewe tukarudishiwa tena pesa yetu kwaiyo jamaa wa simba akawa amenunua creti 2 za bia bila kupenda kisa sifa mbele za watu! Mpira ukaisha tukawa tunaanza kusepa tupo tunaelekea parking mara ghafla tunaona jamaa anakuja kwa upole eti tukamuombee kaunta wamrudishie japo pesa ya creti moja sabab creti mbili hawezi kunywa zote tukacheka sana tukamwambia we komaa tu mzee tukamuacha pale jamaa anatia huruma sana sifa zimemponza
Meneja wa bar alikuwa captain alimwambia bia tumeshauza pesa haiwezi kurudi [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muoneHaya Maisha bila kujitoa ufahamu na kujikana hayaendi vile unataka, Mmoja katika hao nilidumu Nae katika mahusiano almost miaka miwili, Huyu ilikua Morogoro mjini miaka ya 2013 isivyo bahati Nilipoondoka Morogoro na Mahusiano yakafa. Natamani Nimtaje hata Jina ila Sitaweza. Siku Namuona Kavaa Kininja Full nikasema hapa Lazima nione yaliyomo ndani. Alikua mzuri wa Umbo na Tabia. Sijui alinipendea nini yule dada, ama ujasiri wangu wa kukomaa na nisichokiona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Endelea uchapwe viboko mia moja[emoji51][emoji51]Tangu useme unavaa Majuba umeshanichanganya, hapa Nataka nikushauri ununue bando ili Niendelee kukuona online wakati Kula ni Muhimu kwa mwanadamu... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji41][emoji41][emoji125][emoji125] Ngoja Ni log out. Ninakoelekea kubaya.
Nieleweshe Dr[emoji5]Nlinunua mkungu wa ndizi kwenye harambee baada ya kuona madem pale chapo nmenyoosha mkono wananiangalia kwa macho ya wewe shusha huo mkono uwezi panda hapo nikapandishana na wazee wale wa benki nikaishia laki mbili nilijua wangepanda zaidi ili niachie pale
Watu si wakauchuna laki mbili yangu ikanitoka nililia hadi kamasi
Nkaenda kuuza kwa mama ntilie kwa arubaini alfu