Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Hahahah kwahio unamkomesha wifi yako 🀣
 
Mara nyingi wanawake ndio wana roho za choyo. Na hawapendi kujulikana hivyo kwa waume zao.
 
Huyo kweli alikuwa mwamba 🀣
 
Vijana wanataka waishi kifalme waamke saa 4 Asubuhi wakute chai mezani wanywe kisha house girl atoe vyombo, wakishamaliza kunywa chai warudi chumbani kuchati wakisubiri chakula cha mchana waje waitwe na dada wa kazi.
Hahahah hii ndio sababu kuishi kwa mtu ni taabu. Sasa hapo kuna ubaya gani? Mfanyakazi si yupo we unataka mie kijana wa makamo nikija kwako nianze kuosha na vyombo🀣?

Staki kabisa habari za kukaa kwa mtu hata nikitembelea ndugu ni aheri kulala gesti tu. Unasalimia na kuondoka.
 
Si umchambe ukweli. Shida nini.
 
Hivi sijui kwa nini...wanawake waliotoka kwenye dhiki wakaolewa mahali penye unafuu huwa wanakuwa washenzi sana
Hahahah tabia za kiwaki hizo huwa wanaona kama umekuja kufaidi mali za mme wake. Wanasahau kwamba wale watoto wake ni ndugu zako pia 🀣 ni mambo ya ajabu sana. Nimeishigi mazingira hayo toka mdogo hadi nafikia balehe.

Nilinyanyasika sana yani hadi siku naondoka ile nyumba nilihisi nimepewa uhuru toka Gwantanamo. Mama alikuwa mnafiq na mchoyo sijapata kuona.
 
Pole sana ila approach nzuri ni kuongea na kaka yake. Yeye ndio anaweza kumnyoosha bila kuleta taharuki. 🀣

Maisha magumu sana sahizi kuchezea vyakula hovyo. Ila ukimsema directly bila kumjuza braza wake utaonekana unamnyanyasa au mchoyo. Elekezaneni kibingwa tu.
 
Wifi yako naye alikuwa mshamba sana. Yani mimi ni kama nimeathirika kisaikolojia mwanamke mbinafsi na mchoyo simtakagi hata kudeiti nae kwa bahati mbaya. Yani nikiona hizo dalili tu jua biashara inaisha mapema sana 🀣!
 
Hahahah we umeumbwa na roho safi. Kuna mtu hio tv kuangaliwa tu ni kero kwake. Atasema hata mnavuruga makochi ilimradi awape tabu tu 🀣
 
Yeah hili liko wazi. Mtoto atanyanyasika tu akikaa mahali ambako mwanamke sio ndugu yake. Hawezi kuwa huru lazma atasumbuliwa kihisia tu. Wanawake wengi wana roho za kishetani sana wakikaa na ndugu za waume zao. Tena hasa huyo ndugu awe na uchumi mzuri balaa huwa zito. Kwa niliyopitia staki kuja kuona mtoto wangu anakaa mahali ambapo sio kwao.

Bora tushindie mikate na chai ila sio kumpeleka kwa baba wadogo au baba wakubwa wake. Yani hata nikifa bora akae na shangazi yake tu. 🀣
 
K.u.m.am.a.m.ak.e.keeeee
ndugu wakibongo ni wase.nge tu ku.m.a.ni.na zao

1. Ukipata pesa kuzidi yeye utaambiwa unaiba.

2. Ukipata deal ya pesa utaambiwa unauza unga au jambazi.

3. Ukiwa na demu au msela kitaani utaambiwa malaya.

4. Ukijiongeza uka move ukaishi kitaani ukaacha kuishi na ndugu utaambiwa mjeuri ku.ma.ma.ma.keeee

5. Ukinunua gari ukajenga mjengo utaambiwa FREEMASONRY.

6. ukivuta sigara, kunywa pombe, unaambiwa unatumia pesa vibaya kana kwamba wao wanakulipa mshahara was.enge hao.

7. basi ukivuta bangi utaambiwa umejiunga na makundi ya hovyo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


 
Kwenye shida ndugu zako Mara nyingi hukupenda na kukuomba msaada Tena watakuona Kama mfalme au malkia wao. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Niliwahi kuishi Kwa ndugu. Mkewe alikuwa balaa kuamka saa 10 usiku hata kama hujui pa kwenda. Na ukiamshwa huamki unajikuta katikati ya mafuriko. Siku nyingine unajikuta wewe chini godoro liko juu yako.
Yule mama alikuwa balaa
 
Alikuwa sahihi kwa asilimia 100.
Ukitaka enda kwa Mtu angalia kwanza uwezo wa mtu husika.

Angalia ratiba zake

Angalia umuhimu wa kwenda msalimia

Mtaarifu
 
Nyinyi ndo sababu watu kuzaa hovyo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…