Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole. Mtu anabania hadi chakula daah ni hatari...kuna ambao hawapendi ndugu wa mume tu ila kuna hawa ambao hawapendi watu wote tu hata awe ndugu yake
 
Una utoto mwingi sana.

Hujui mwanamke akiwa mjamzito mood yake inakuaje?
 
Kwa hiyo umeishia la Saba?
 
Chai.

Nakumbuka sana uliwahi kutusimulia humu ulisoma international schools kuanzia shule ya msingi na ulisoma na Zawadi Mdoe ,leo vipi?
 
Una miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…