Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Mmmh hapana watu wengine ni wanyanyasaji in nature

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ni kweli, ila pia kuna wanaingia nyumba za watu wanataka wawe kama wenye nyumba.

Nitajisikia vibaya kama mtu anawanyima watu wa ndani kwake chakula, ila sheria nyingine ikiwa kama kazi za hapo, muda wa kurudi home(huwa sipendi kufungulia mtu mlango usiku wa manane) unless iwe ni kwa sababu maalumu kama kazi nk.
 
Hayo mambo ni ya kawaida, mimi mwenyewe mtu akija kwangu ni lazima afuate utaratibu wa nyumbani kwangu. Tatizo ni pale sheria zinapoegemea upande mmoja....unaweka sheria kuwa kuamka saa kumi na mbili ila anayetakiwa kufanya hivyo ni yule tu ambaye sio mtoto wako halafu wanao wewe wanaamka saa mbili na umri wao ni sawa na mwenzao..haikubaliki. Watoto wako kila mwezi unawanunulia nguo ila yeye unamnunulia krismasi tu ni ufala ukiamua kukaa na mtu mtreat kama mwanao sio kufanya kama umelazimishwa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa umenichekesha sana [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila we ndie ulikuwa na tatizo wala sio hao mbwa, kwa kifupi mbwa ni mnyama mwenye akili ukiwa unabehave km una hatia lazima wakushambulie.

Mbwa ukiwa unamuogopa kwa kawaida huwa ana sense na kujua kwamba huyu sio mtu mzuri kwa hyo anakuwa anajihami.

Ulichopaswa kufanya kuanzia mwanzo ni kufanya juu chini wakuzoee na hili lingewezekana km ungekuwa una act upo cool mbele yaani huna wasiwasi, hili la kuwa na wasiwasi kila mara unapowaona ndio lilifanya muwe maadui wa kudumu.
 
Hata mimi nimefikiria hivyo...eti anaenda chooni anatoka spidi lazima mbwa wakufuate

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

Hata mim sipendi kuishi nyumba ambayo kuna mbwa
 
Siku ukiishiwa au kupata shida unabaki na mkeo uliyekuwa unampuuza na kuwaona ndugu ndiyo namba moja mke namba 3.
Sifanyi huo u.s.e.n.g.e. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ndugu zangu nimewakataa kitambo k.u.ma.ni.na. zaoooo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa mkuu ulishindwa nn hata kutayarisha chupa Usiku kabla yakulala napo ulikua unazembea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hilo nilifikiria pia lakini kuna siku niliaibika, wakt naenda kumwaga chooni nakutana na dem wa bro karibia na toilet, japo nilikuwa nimezungushia karatasi vizuri lakini alielewa. Ni msichana rika langu tu, ile pisi iliniona hovyo kweli. Tangu siku hiyo nikawa naibia sana kutoka na kopo sometimes naacha kabisa!
 
Hii nilikuja kujua baadae. Lakini mkuu sio rahisi kihivyo inategemea na mbwa. Wale hawakuwa kama hawa wa barabarani.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…