Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Kwa hiyo unataka ukienda kwa watu au hata ukiwa kwenu uamue saa 4. Unywe chai then uingie ndani kuchat, saa 7 uletewe chakula na house girl then uendelee kuchat saa 9 uende angalia marudio ya tamthilia hadi saa 2 upo kwenye TV then ule cha usiku uingie chumbani kuchati hadi saa 6 usiku.Hahahah hii ndio sababu kuishi kwa mtu ni taabu. Sasa hapo kuna ubaya gani? Mfanyakazi si yupo we unataka mie kijana wa makamo nikija kwako nianze kuosha na vyombo🤣?
Staki kabisa habari za kukaa kwa mtu hata nikitembelea ndugu ni aheri kulala gesti tu. Unasalimia na kuondoka.
Hivi nyie vijana mnajitambua? Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu ndio yupo kama wewe. Yeye ni kuinua miguu juu ya sofa kuchat tu. Hajui hata kufua chupi zake, eti ndio maisha yenu na hata wewe kama ni ME au KE ila tabia zenu ni zile zile.
Kizazi kibaya na cha hovyo hiki cha 1990's to 2000's. Hakuna kijuacho wala kiwazacho humu duniani zaidi ya ngono na betting. Pumbavuu