Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Mkasa wakufanyishwa kazi mingi zaidi akiwa hataki nijishughulishe na vitu vyenye manufaa yangu niliumiaga🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] misa ya watotoSaa kumi jioni[emoji23]
Kwakuwa ni kwa ndugu yako ulitaka uwe unajifungulia tu friji unakula unachotaka sio?
Hutaki kuzoa mavi ya mbwa unataka azoe Nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kazi Sana hata madogo wanakuzarau inabid uvumilie.kuna ile system madogo wamekunywa either soda au juice wameshindwa kumaliza eti unaitiwa unakumepaka shombo ya michipsi soda au juice ety mmpe uncle nilikuwa sipend kinouma hizo piga
Hata wakibaisha msosi unaitiwa nilikuwa sipokei
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anaweza kujitetea mimba ilikuwa inamaumbuaMimi nilikuwa nakaa kwa shemeji yan mke alie muoa kaka yangu tulikuwa marafiki sana mpaka matatizo yake na kaka ananiambia sasa siku nilitakiwa kwenda kukaa uko kwa ajili ya field sasa sehemu napajua ila landmark ilinitoka nikawa nampigia simu hapokei piga simu hapokei af hapo yeye alikuwa amesafiri nikampigiq mama nikamwambia yeye akampiga kaka maana mimi nahasira nishaaza kutoa maneno ya hasira
Bro akanipigia umefika wapi nikamjibu kituoni hapa haya ulizia sehemu fulani nikafika nikaingia an begi langu tukawq tunakaa mimi na kaka kesho yake nikiwa field nikampigia tena simu shemeji piga simu kapokea anaongea kama ataki nikajiongeza hapa sitakiw
Sasa sikuio mimi sina hili wala lile niko home nimekaa kaka kachelewa kurudi siku iyo nashanga mlango unafunguliwa kumbe shemeji nikampokea pale na bashasha na nilivyo mcheshi kijana wa watu za kwenu ulikotoka mambo mengi mtu ananijibu shot mh nikauchuna
Tumekaa gala nashangaa mtu kachukua ngazi anasafisha feni na ni mjamzito ikabidi nimwambie shuka nipande nikasafisha usiku ule ule kaka alipo rudi katukuta tunasafisha ndani akauchuna tu basi wakati tunakula sisi tunakula ugali na dagaa yeye kumbe katoka kwao na kuku anakula peke yake kaka akakamuomba akamkatalia dah nikasema hapa cha kike
Basi siku iyo ikapita sasa nikiwa field nasema niwahi kurudi nikapige story na shemeji yangu ee nikifika ananikataa kabisa analala nikasema huyu anijui nikawa nabaki field mpaka saa mbili akawa anafoka siku nayo ondoka siku waambia nilikuja kuwaambia asubuhi maana niliona bro naye anamuonga mkon mkewe morning anaoga na mimi naoga najiandaa akaniuliza unaenda wapi nikamjibu naondoka leo narudi home mbona ujasema mapema huyo. Shemeji nikamuuliza ulikuwa unataka ufanyeje? Akaa kimya
Na alikuwa na tabia anaingia chumban atakama umelala anaingia tu bila hodi nilipotoka hapo sikumpigia simu kuwa nimefika wala nini alipiga simu mama kuwapa taarifa kak akapiga simu mbona ujasema kama umefika mimi majibu yangu short kwani ukupewa taarifa na mama? Mzozo ulikuwa mkubwa nikakata simu sikuja kuongea nao mpaka mkewe alipojifungua nikampa hongera ikapita hiyo
Kweli. Kuna wageni nao ni pasua kichwa hawana shukrani.Ila wasisemwe wenye mji tu, vipi wageni wenyewe wanao kuja hapo? Unamhudumia mtoto wa mtu siku akitoka hapo utasemwa mpaka unajiuliza hivi yale niliokuwa nafanya kumbe yote mabaya,
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wewe boya kweli, Sasa kushinda unelala ndo Nini? Hata minu nakufukuza siwezi kaa na mtu haamki.mvivu kuamka😅
Ata baaada ya mimba ni mchoyo tuHuyo anaweza kujitetea mimba ilikuwa inamaumbua
Tena saa kumi jioni hivi unaona ni sawa kisa nimecherewa kuamka saa kumi na mbili na Misa ya pili hapn apo😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] misa ya watoto
umepiga kwenye mshono.siwezi kukaa kwa ndugu kwasababu najijua sipendi kwenda kanisani, hua inaleta mzozo
😂😂😂😂Umefanya nicheke kwa sauti kwaiyo ukikaa kwa mtu unasingiziwa yawezekana ulkaa kimitego anaachaje kutokwambiaAlinisingizia natoka na mumewe
Jamaniii maisha haya....tangu hapo sitaki kukaa kwa mtu
😂😂😂😂htr sasa umekua dogoView attachment 2687801
[emoji854][emoji854]
😂😂😂😂ulimnyimavuterezi ww itakuaNilisingiziwa Nimemchapa beki tatu Mimba alafu demu mwenyewe mbovu kmmk, yule shemeji yangu sitomsamehe mpaka nakufa, alipiga simu kwa mtu ananisema, na demu sikuwai kumla ila nkasigiziwa mimba, mwisho wa picha ilijulikana msela aliempachika mimba na shemu akaumbuka, mpaka leo hatusalimiani mbwa yule.