Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

Yaani, kuna pande mbili ,unaweza kuta mwenyeji yupo vizuri, mgeni sasa anataka kuwa mwenye nyumba, pande ya pili mwenye mji uuwii mie mwenyewe mmm miezi 2 hoi, ila kwasababu nilikuwa mpita njia wala nilivumilia nakujiondokea zangu .
Duh hivi kwann inakua hivyo maana mwingine alinipa chupi zake akitaka nimfulie nabaki kulia tu nakuomba wanirudishe nyumbani nimemkumbuka bimkubwa 😂😂😂ghafla
 
Duh hivi kwann inakua hivyo maana mwingine alinipa chupi zake akitaka nimfulie nabaki kulia tu nakuomba wanirudishe nyumbani nimemkumbuka bimkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]ghafla
Huyo alipitiliza jamani daa hiyo mbaya, mie nilikuwa mtu mzima hivyo sikukubali upuuzi, sasahivi anaonaga aibu tuna maisha yetu kuzidi hata ya binti zake, Mungu huwa fundi balaa!
 
Alafu wanatutumikisha kazi zaidi kuliko ata watoto alio wazaa we ilebari ya miezi kama hii mikoa tunayotoka unaambiwa amka saa kumi namoja kasoro alfajiri uteke maji ujaze pia uku wanae wakiendelea kulala sasa wajiuliza ayo maji utatumia ww au wote😆😆😄
 
Alafu wanatutumikisha kazi zaidi kuliko ata watoto alio wazaa we ilebari ya miezi kama hii mikoa tunayotoka unaambiwa amka saa kumi namoja kasoro alfajiri uteke maji ujaze pia uku wanae wakiendelea kulala sasa wajiuliza ayo maji utatumia ww au wote[emoji38][emoji38][emoji1]
Unyanyasaji kabisa huo.
 
Kukaa kwa mtu ni kazi mno unaweza kuwa unamkera na hujui unamkera nin
Hata kwenda tu kwake kama hakutak unakuwa tayari umemkera na ukishafka unaona muda wote kanuna unadhan ndo alivyo kumbe chanzo ni wewe na bila kujua unajikuta muda mwingne unajaribu hata kutabasamu ukiwa karbu nae uone kama nae atakuunga mkono kumbe ndo kabisaaaa unamchefua bila kujua kosa lako miongoni mwa mitihan mikubwa tuachane na darasan ni pamoja na kuishi kwa ndugu [emoji19]
 
Kuishi kwa ndugu jau sana nakumbuka nilikuwa kwa uncle maisha yalikuwa mazuri skatai ila kuishi na mkewe ndo kazi picha linaanza asubuhi kuoga sabuni anakuwa kaifungia chumban kwake ili kuhepusha usumbufu muda mwingne unanunua yakwako unaoga akijua una yakwako kelele zinakuwa nyingi

Bas kwakuwa ofcn na hm sio mbali sana anasema kamavp ukiwa unafka muda wa msos unakuja unakula then unarud muda ukifika ukienda anasema mbn mapema sana hata hatujapka hapo ni saa 9 kumbe washakula na watoto wake na ndugu zake siku ukisema nisiende anamwambia uncle mbn siendi kula mchana dooh kazi kweli

Wakija wageni wa nyumbani anajifanya malaika hapo ndo utaona ana-care sana mara hv mara vile kujionesha ni mwema wakiondoka mwendo ni ule ule

Siku zingne unatoka ofcn usiku unakuta wanakula let say ugal utasikia mke wa mjomba anasema dah umechelewa kdg tulikuwa tunamalizia kula msos wako uko kwenye sahan hapo yale mabaki yake na watoto wake ndo nile had now nilitoka [emoji19]!!
We mwanamke popote ulipo asante ntakuletea zawadi
 
Kumbe ulikua na kazi sasa ulikua na sababu gani kuendelea kukaa hapo?
 
Huyo alipitiliza jamani daa hiyo mbaya, mie nilikuwa mtu mzima hivyo sikukubali upuuzi, sasahivi anaonaga aibu tuna maisha yetu kuzidi hata ya binti zake, Mungu huwa fundi balaa!
Ila kuna ndugu wengine ukikaa kwao hadi raha, mm ni shahidi, mtakula wote kilichopo, mtafanya wote kazi zilizopo, watakutreat vizuri utakua kama mtoto wa hio nyumba Ulweso Ms eyes
 
Back
Top Bottom