Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Hapana umekosa. Ni around 49 hiviNa guess! Utakuwa na umri juu ya miaka 60!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana umekosa. Ni around 49 hiviNa guess! Utakuwa na umri juu ya miaka 60!
Ooh! Wewe nakufananisha (ga) na hii ID inaitwa BabuKijanaHapana umekosa. Ni around 49 hivi
ukienda ghetto kuepusha mitego anakuita na kukuliza vitu vya kitoto ilimradi tu uteseke *****😆mkuu hii stori haijakamilika, malizia basi!
WANAWAKE NI MASHETANI! tusisingizie udini... nyumba yoyote ugomvi huletwa na Chakula 😔Wamama wa kipare shikamoo.
Kuna jamaa walikuja Dar kwa baba Yao mdogo ambaye ameoa mpare. Sasa huyo mama alikua hapiki mpaka mume wake arudi jioni kabisa. Vijana wakajiongeza wakamwambia baba mdogo kwamba wanashinda njaa, kula Ni mpaka baba arudi.
Baba mdogo akawaambia, hapa Ni kwenu, sio msubiri mpaka mama apike. Ukiona mama Yuko bize, ingia jikoni pika, kula OSHA vyombo.
Dogo wakawa wanatanya Kama walivyoagizwa. Siku mbili nyingi, mpare akawa anahifadhi vitu muhimu vya kupika chumbani kwake akijua kabisa Mila haimruhusu kijana wa kiume kuingia chumba Cha mzazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2687801
[emoji854][emoji854]
Kwangu mie napenda uhuru binafsi. Sitaki heka heka.Thw matter ni uhuru.
Kwanini mkuu?Duh! Kuna watu mna vipaji vya kuandika
WANAWAKE NI MASHETANI! 😂😂😂🙌🏾Kuishi kwa ndugu jau sana nakumbuka nilikuwa kwa uncle maisha yalikuwa mazuri skatai ila kuishi na mkewe ndo kazi picha linaanza asubuhi kuoga sabuni anakuwa kaifungia chumban kwake ili kuhepusha usumbufu muda mwingne unanunua yakwako unaoga akijua una yakwako kelele zinakuwa nyingi
Bas kwakuwa ofcn na hm sio mbali sana anasema kamavp ukiwa unafka muda wa msos unakuja unakula then unarud muda ukifika ukienda anasema mbn mapema sana hata hatujapka hapo ni saa 9 kumbe washakula na watoto wake na ndugu zake siku ukisema nisiende anamwambia uncle mbn siendi kula mchana dooh kazi kweli
Wakija wageni wa nyumbani anajifanya malaika hapo ndo utaona ana-care sana mara hv mara vile kujionesha ni mwema wakiondoka mwendo ni ule ule
Siku zingne unatoka ofcn usiku unakuta wanakula let say ugal utasikia mke wa mjomba anasema dah umechelewa kdg tulikuwa tunamalizia kula msos wako uko kwenye sahan hapo yale mabaki yake na watoto wake ndo nile had now nilitoka [emoji19]!!
We mwanamke popote ulipo asante ntakuletea zawadi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Daaah nyumba hiziKitambo niliwai pata safari ya mbali ilibid nifike kwa ndugu yetu niweke kituo siku kadhaa, ilikuwa sio poa huyo mama mwenye nyumba alikuwa na uvaaji wa kizungu kuanzia morning to everning kila muda ni kama yupo ufukweni hafungi mapaja akilala anajiachia unaona mashavu kiaina
The same applied to me... yaani mpaka kwenye kula unajishtukia shtukia. Aisee siwezi kabisa huu upuuzi.Kwangu mie napenda uhuru binafsi. Sitaki heka heka.
Umeandika maelezo marefu mno... ni kipajiKwanini mkuu?
Kwa hiyo kufungua fridge ni big deal sanaKwakuwa ni kwa ndugu yako ulitaka uwe unajifungulia tu friji unakula unachotaka sio?
Hutaki kuzoa mavi ya mbwa unataka azoe Nani?
Wee babukijana hajawai kufikia kwa mtu,hata kwetu siendi nivile tu kumsalimia maza niondoke.Ooh! Wewe nakufananisha (ga) na hii ID inaitwa BabuKijana
[emoji23] umeamua kuja kabisa bhana[emoji16][emoji23]Wee babukijana hajawai kufikia kwa mtu,hata kwetu siendi nivile tu kumsalimia maza niondoke.
Kukaa kwa watu siwezi yalinikuta nikakoma kabisa
Women are the source of all problemsWomen are the source of all problems ,Wanaume huwa tuko busy na kazi Mambo mengi ya kinyumbani hatuyajui ,WANAWAKE ndio husumbua Sana ndugu zetu hasa pale unapokuta WANAWAKE wa Nyumbani wanaotegemea pesa za mume ndio wasumbufu zaidi.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wanawake waone hivi ni watu wabaya sana that's why hata wao hawapendani,ukimkuta ametokea maisha ya shida akaja kukutana mwanaume mwenye nazo ,ubinafsi ,roho mbaya,chuki hata visa utaona, matatzo mengi source ni womenWomen are the source of all problems
Hii ni quote ya mwaka na huwa sielewi kwanini wanawake wanaletaga majanga mengi sana kwenye jamii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaanThe same applied to me... yaani mpaka kwenye kula unajishtukia shtukia. Aisee siwezi kabisa huu upuuzi.
Wee babukijana hajawai kufikia kwa mtu,hata kwetu siendi nivile tu kumsalimia maza niondoke.
Kukaa kwa watu siwezi yalinikuta nikakoma kabisa
Hapana jamaa hakuwahi hata kunitongoza maskiniMuonekano wako unaonekano ni HATARI FIRE! mtoto... hata mie ningekuwa mumewe ningekutongoza tuwe tunakulana kisirisiri. Na gari ningekununulia na ningekupangia mbali na hapo na kazi juu! Ila tu heshima kwa mke wangu iwe palepale na asijue!
Vipi jamaa angekutupia jiwe ungekataa?! Au alikukula?! 🤔🤔🤔😋🤤