Nina matukio mengii ya kukumbanaa na visaa kwa Walimu.
Ila hii ndo kila nikiikumbukaa naliaaa, siwezagi kuvumilia.
Niko 4m 3, mwalimu wa Chem, alitupatia Text, sasa kwenye Alama ambazo alitupangia tufikishee, ktk kundi langu, mie pekee angu sikufikishaa.
Aliniita ofisini, akaanza kunisemaa, "umeanza kushukaa eeh, na hapo bado hawajakuharibu vizuri unaanza kupoteaa, ngoja umalize 4m 4 ukakae home kwa muda, utaharibikaa zaidi nawee nakuambiaa hutamaliza 4m 6 utaacha mwenyewee, najua akili za kwenda advance unazo, ila wee hutamaliza 4m 6, utakujaa kuniuliza siku yake"
Nilitokaa ofisinii kijasho chembamba kinatiririka kwenye shati, machozi yanalengaa, Jah sio Jonas, nikamaliza o level salama, tokeo limetoka nimepasua well, selection za advance zikatokaa na kupelekwa shule nzuri na boraa.
Miaka 2 ilienda vyedii, siku ya graduation, nililia nyie had watu wote waliokua maeneo ya tukio walikua wanashangaaa, sasa kuna somo niliitwa kwenda kupewa zawadi, km waliamsha majini, kilio nililia hicho, napokea zawadi shati limeloa chozii, had kuna maadam kajaa kunitulizaa.
Nilikua nalia na mengii jamaniii, hatimaye nikahitimu salama, nkaenda chuo na degree nkaipata, bila Sup wala carry.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]