Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Baadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.

Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza kufanikiwa hata siku moja”.
mi niliambiwa hata kama una akili kama huna discipline hutoboi, dah ila saa hivinaona kama kweli
 
Fala yule wa mathematics aliniambia mie akili yangu nzito kama mama yangu aliyenizaaa....pumbafu likajaga pata skendo ya kudinya mwanafunzi aisee nilicheka sana alivyofukuzwa alafu sasa mchizi nikaja piga A ya mathe advance.
Walimu wengine nuksi tuu. Natumai alishakufa huko alipo
 
Wana maneno makali sana hakika, alimjuaje mama yako?
 
mi niliambiwa hata kama una akili kama huna discipline hutoboi, dah ila saa hivinaona kama kweli
kuna mwamba alikuwa kichwa balaa, ila mkorofi sijawai ona, haiishi wk bila kukwaruzana na waalimu, alikuwa class 1 mbele yangu o level, hapo yuko form 4, walimu wameshamvumilia sana ila nadhani ilikuwa imefika mwisho maana kikao kilishapitisha afukuzwe shule. siku hyo nipo na tr wa physics akamuita, yule tr alikuwa mtu mzima kias, kwanza alitokwa na chozi, akamwambia nasikitika sana shule inapoteza one ya 7, ila kama ni kukuvumilia tumekuvumilia sana mwanangu, nenda labda dunia itakufunza, mwamba alimpigia magot tr akiomba akamuombee mshamaha kwa head ila akamwambia hakuna kinachoweza badilika, jamaa alifukuzwa nikaja kukutana naye miaka kadhaa, akaniambia aliamua kuokoka maana aliona kama ana mapepo vile.
 
Walishindwaje kumsamehe mtu muhimu kama huyu?
 
Alituambia darasa zima kwamba ada zetu ni kama baba zetu wamechukua pesa na kuflash chooni 😐😐😐
Darasa zima likapiga makelele na mayowe Madam akaamsha zake nje 😁😁😁 na kesi ikakuzwa mnooo
Hakutufundisha tena
 
Walishindwaje kumsamehe mtu muhimu kama huyu?
Nashangaa..tuliwahi kufanya mgomo form six tukasalitiwa na wenzetu tuliobaki tukakaza. Tukahitajika kufukuzwa shule. Jambo likapita kiajabu ajabu tukafanya mtihani. Baada ya matokeo naenda kuchukua slip niende chuo, mkuu wa shule ananikumbusha unajua kwanini hatukuwafukuza? Akaniambia siri nilikuwa naona nafukiza one za tatu. Na results zetu zilipaisha shule. Wote tuliohitajika kufukuzwa tulipiga one point 3,4 na 5 mwisho.
 
Binafsi sikumbuki kuambiwa neno baya na mwalimu, nilikuwa mtu wa kufata taratibu na sheria za shule sana. Pia darasani likuwa vyema so sikuwahi kukumbana na hizo sarakasi...
 
Mwalimu mmojaja alimtongoza mwanafunzi ila Kwa sababu mwanafunzi alikuwa na mtu wake aliyempenda alinkataa ticha. Ticha akaanza kumwita yule mwananafunzi ARV akimaanisha ana waya duh! maticha wa bongo.
 
Ubaya ubwela
 
Kwakweli sijawahi Tena had wale walimu wa ovyo walikuwa wananiheshimu sana nilikuwa mpole pia sio muongeaji
Chuo nilikutwa kwenye kesi ambayo ningepata afhabu Kali alafu nilikuwa kiongozi nakumbuka nilitetewa na mkufunz wa maadili mbele ya mkuu wa chuo na wanachuo sikuamini nililia sana Ile siku
 
Back
Top Bottom