Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi niliambiwa hata kama una akili kama huna discipline hutoboi, dah ila saa hivinaona kama kweliBaadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.
Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza kufanikiwa hata siku moja”.
Wana maneno makali sana hakika, alimjuaje mama yako?Fala yule wa mathematics aliniambia mie akili yangu nzito kama mama yangu aliyenizaaa....pumbafu likajaga pata skendo ya kudinya mwanafunzi aisee nilicheka sana alivyofukuzwa alafu sasa mchizi nikaja piga A ya mathe advance.
Walimu wengine nuksi tuu. Natumai alishakufa huko alipo
kuna mwamba alikuwa kichwa balaa, ila mkorofi sijawai ona, haiishi wk bila kukwaruzana na waalimu, alikuwa class 1 mbele yangu o level, hapo yuko form 4, walimu wameshamvumilia sana ila nadhani ilikuwa imefika mwisho maana kikao kilishapitisha afukuzwe shule. siku hyo nipo na tr wa physics akamuita, yule tr alikuwa mtu mzima kias, kwanza alitokwa na chozi, akamwambia nasikitika sana shule inapoteza one ya 7, ila kama ni kukuvumilia tumekuvumilia sana mwanangu, nenda labda dunia itakufunza, mwamba alimpigia magot tr akiomba akamuombee mshamaha kwa head ila akamwambia hakuna kinachoweza badilika, jamaa alifukuzwa nikaja kukutana naye miaka kadhaa, akaniambia aliamua kuokoka maana aliona kama ana mapepo vile.mi niliambiwa hata kama una akili kama huna discipline hutoboi, dah ila saa hivinaona kama kweli
Now you are here with us kidum na broom 🤣I was there FEZA schools
So I never face any shit from my teachers
Walishindwaje kumsamehe mtu muhimu kama huyu?kuna mwamba alikuwa kichwa balaa, ila mkorofi sijawai ona, haiishi wk bila kukwaruzana na waalimu, alikuwa class 1 mbele yangu o level, hapo yuko form 4, walimu wameshamvumilia sana ila nadhani ilikuwa imefika mwisho maana kikao kilishapitisha afukuzwe shule. siku hyo nipo na tr wa physics akamuita, yule tr alikuwa mtu mzima kias, kwanza alitokwa na chozi, akamwambia nasikitika sana shule inapoteza one ya 7, ila kama ni kukuvumilia tumekuvumilia sana mwanangu, nenda labda dunia itakufunza, mwamba alimpigia magot tr akiomba akamuombee mshamaha kwa head ila akamwambia hakuna kinachoweza badilika, jamaa alifukuzwa nikaja kukutana naye miaka kadhaa, akaniambia aliamua kuokoka maana aliona kama ana mapepo vile.
Nashangaa..tuliwahi kufanya mgomo form six tukasalitiwa na wenzetu tuliobaki tukakaza. Tukahitajika kufukuzwa shule. Jambo likapita kiajabu ajabu tukafanya mtihani. Baada ya matokeo naenda kuchukua slip niende chuo, mkuu wa shule ananikumbusha unajua kwanini hatukuwafukuza? Akaniambia siri nilikuwa naona nafukiza one za tatu. Na results zetu zilipaisha shule. Wote tuliohitajika kufukuzwa tulipiga one point 3,4 na 5 mwisho.Walishindwaje kumsamehe mtu muhimu kama huyu?
Ubaya ubwelaMwalimu mmojaja alimtongoza mwanafunzi ila Kwa sababu mwanafunzi alikuwa na mtu wake aliyempenda alinkataa ticha. Ticha akaanza kumwita yule mwananafunzi ARV akimaanisha ana waya duh! maticha wa bongo.
Ulifanikiwa kuupata ukimwi?😄😄Niliambiwa nisipo angalia nitakufa na ukimwi😁
Hahahaha ila aliambiwa "asipoangalia" kwahyo tangia hapo alianza kuangalia kwahyo hawezi kufa tena na ukimwi.Ulifanikiwa kuupata ukimwi?😄😄
Shule za kata hizoNyie wenzetu mmesoma shule za wapi hizo zisizokua na walimu wenye maadili kiasi cha kutamkiwa maneno ya hovyo namna hiyo?
TOOBAAANow you are here with us kidum na broom
Hili swali gumu kwangu maana mm nilikuwa mwanafunzi tu, ila mwamba alikuwa wa moto si mchezo, ila ukorofi sasa, daahWalishindwaje kumsamehe mtu muhimu kama huyu?