Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Nimesoma Arusha shule ya sekondari Themi, kuna mwalimu anaitwa Mgonja, alikuwa ana tabia ya kuwaambia wavulana kuwa tunakuja asubuhi shuleni huku tunanuka nguvu π kipindi hicho nilikuwa sielewi alikuwa ana maana gani, kumbe bhana alikuwa ana maanisha ni ile wanaume kuja shule huku hawajaoga baada ya kuchafua mapaja kwa ndoto nyevu.