Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

'I'll make sure you fail this semester'..., hapo nipo chuo mwaka wa kwanza... Na vile nilikosa mkopo ni kajibu 'sawa haina shida'.
 
Mwl wa physics alinitoa darasa la wanafunzi wanaosoma masomo ya science kwasababu sikuwa napaform vizuri somo lake, bahati mwalimu wa chemistry alipita akauliza huyo vipi Tena?
Baada ya maelezo akatoa maoni kuwa nafanya vizuri sana kwenye somo lake kwaiyo tusimpoteze huyu mtoto tumsaidie tu kidogo.
Kwasasa Mimi ni daktari nauliza hapa ni wapi??
 
Utakuwa una makosa madogo magodo kwenye kazi yako hahahaha
 
I'm not perfect ila nafanya kazi katika ufanisi mkubwa ninaowaudumia wanasema wenyewe, ila point ni kwamba usimuhukumu mtu mapema mpe muda unaweza kukataa jiwe walilolikataa waashi likawa jiwe kuu la pembeni.
 
Humans are dynamic
 
Back
Top Bottom