Nakumbuka mwalimu wa biology alikuwa anatufundisha topic inayohusu masuala ya uzazi, Kwa bahati nzuri nikamakinika nayo tofauti na siku zingine ambapo mwalimu akiwa anafundisha Mimi nachora ama katuni au namchora mwalimu mwenyewe. Ticha alipotoa fursa ya kuuliza maswali Mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza kurusha mkono juu Kwa mbwembwe mpaka yeye mwenyewe akashanga, aniniteua. Nikamuuliza kuwa mwamaume aliye rijali anatoa manii/shahawa nyingi kiasi gani, cha kushangaza akanijibu Kwa hasira akisena shenzi mukubwa mbona topic zilizopita hukuwa unazifuatilia, kapige punyeto upime manii zako kwanye chupa ya Kilimanjaro uje na majibu kesho. Nilitamani ardhi ipasuke lakini haikuwezeka, huyo mwalimu Sasa hivi ni mlevi na anapiga puli kisawasawa.