Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Lecture fulani…, wa chuo fulani kunisimamisha mbele ya darasa na kuanza kunichamba” eti naringa najifanya mzuri…, sijui mara unalingia tako litakupeleka wapii…, mara mtu mwenyewe mbaya humfikii mke wangu hata theluthi!!! “

Watu wote darasani walibaki wanashangaa kulikoni, ila sikumchukia bali nilimuombea rehema na toba kwa Mungu. Sababu sikuwahi kumkosea wala kufail somo lake. Tujifunze kusamehe na kujisamehe wenyewe pia.
 
Kabisa kipenzi
 
Mwalimu wa history form 4 na discpline master alinitamkia "wewe kamwe hauwezi kufauru" mbele ya wanafunzi wenzangu...alikuwa hajui vzr matumizi ya L na R..lkn baadae alinikuta chuo alipokuja kujiendeleza nikawa namsaidia kufanya assignments (nilikuwa miongoni mwa vijana watukutu mara nyingi alinifuma mtaani nimetoroka shule)
 
😅😅😅
 
Nyie wenzetu mmesoma shule za wapi hizo zisizokua na walimu wenye maadili kiasi cha kutamkiwa maneno ya hovyo namna hiyo?
 
Baadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.

Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza kufanikiwa hata siku moja”.

Wakati mwingine maneno hayo huwafanya wanafunzi kujiona wanyonge na kukata tamaa katika masomo yao na kusababisha baadhi yao kushindwa kutimiza ndoto zao.

Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi wakimaliza masomo baadhi yao hufanikiwa na kuajiriwa katika Taasisi, idara, Mashirika na sehemu nyingine kama hizo.

Walimu hufika kuhitaji msaada na kuwakuta wanafunzi wao waliowatamkia maneno makali wakitoa huduma katika sehemu hizo.

Wakati mwingine husaidiwa lakini pia wakati mwingine hukutana na Vikwazo kutokana na yale waliyoyatenda nyuma.

Walimu tujifunze tuache kuwa wakatili na kutoa kauli kali kwa Mtoto ili kesho yenu iwe Bora zaidi.
Mashavu kama baloon
 
Back
Top Bottom