Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Nashangaa..tuliwahi kufanya mgomo form six tukasalitiwa na wenzetu tuliobaki tukakaza. Tukahitajika kufukuzwa shule. Jambo likapita kiajabu ajabu tukafanya mtihani. Baada ya matokeo naenda kuchukua slip niende chuo, mkuu wa shule ananikumbusha unajua kwanini hatukuwafukuza? Akaniambia siri nilikuwa naona nafukiza one za tatu. Na results zetu zilipaisha shule. Wote tuliohitajika kufukuzwa tulipiga one point 3,4 na 5 mwisho.
Hii ilitukuta sisi pia na tulipigwa spaa mpaka wakati wa mitihani ndo tulienda shule ila Mungu fundi bwana kati ya wote tuliopata hiyo dhahama wote tulifaulu vizuri sana. Nakumbuka nilipokwenda kuchukua slip yangu nilikuwa nadaiwa elfu 25 ila nilisamehewa eti tuliiheshimisha shule pamoja na yaliyotokea.
 
Kwakweli sijawahi Tena had wale walimu wa ovyo walikuwa wananiheshimu sana nilikuwa mpole pia sio muongeaji
Chuo nilikutwa kwenye kesi ambayo ningepata afhabu Kali alafu nilikuwa kiongozi nakumbuka nilitetewa na mkufunz wa maadili mbele ya mkuu wa chuo na wanachuo sikuamini nililia sana Ile siku
Hongera dear
 
Baadhi ya walimu kuanzia Shule ya Awali na Msingi,Sekondari na hadi Chuo wamekuwa na tabia ya kutamkia watoto maneno makali na yenye kukatisha tamaa.

Mojawapo ya Maneno hayo ni kama “Hutaweza kufanikiwa hata siku moja”.

Wakati mwingine maneno hayo huwafanya wanafunzi kujiona wanyonge na kukata tamaa katika masomo yao na kusababisha baadhi yao kushindwa kutimiza ndoto zao.

Lakini katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi wakimaliza masomo baadhi yao hufanikiwa na kuajiriwa katika Taasisi, idara, Mashirika na sehemu nyingine kama hizo.

Walimu hufika kuhitaji msaada na kuwakuta wanafunzi wao waliowatamkia maneno makali wakitoa huduma katika sehemu hizo.

Wakati mwingine husaidiwa lakini pia wakati mwingine hukutana na Vikwazo kutokana na yale waliyoyatenda nyuma.

Walimu tujifunze tuache kuwa wakatili na kutoa kauli kali kwa Mtoto ili kesho yenu iwe Bora zaidi.
Aliniambia sito fika mbali leo hii naandika hii comment nipo Miami na totoz
Cc: ephen_
 
Maneno huumba. Unapoambiwa jambo ambalo huna usijihisi mnyonge ikatae hiyo Hali halafu acha vitendo viongee Wala usifungue mdomo...
 
Amna nilikuwa mkimya huwaga siongei had nisemeshwe huwez Nikuta kwenye ugomvi Wala kundi sijui dadaz nn 😀 mara butterfly 😂😂😂
Ndo maana basi 😜 sie wengine sura zetu ni kosa tayari 😅😅😅
 
Mlikuwa wazuri sana wasichana wazuri shule wanapata tabu sana😂😂
Siku Moja nakumbuka nilikua nimependeza sana na nguo Shule na Shati la Tomato mwenyewe, Soksi zinang’aa vizuri nikakutana na huyo Mwalimu wa kike alikuwa na Mdomo. Hata sikujua Kosa langu nilisemwa Jamani Eti najidai 😅😅😅. Adhabu za kutosha. Hadi nilihama Shule Form Five.
 
Hata usipoingia darasani au usipoandika somo langu ,,
mimi mshahara wng napata kama kawaida..

Mwalimu wetu wa hesabu shule ya msingi 😁😁
 
Back
Top Bottom