Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

Mwenye nia hata akiambiwa utakufa kesho asubuhi bado atatimiza ndoto yake
 
Mimi sijawahi tamkiwa chochote, shule ya msingi nilikua naenda kunywa chai kwa Mwl mkuu( I was a good boy), secondary(O-level) nilikuwa Monitor(form 1-3), Advance nilikuwa waziri wa msosi.

Kiufupi maisha yangu ya shule sikuwa msumbufu
Asiye elewa msingi wa andiko atakuwa hananhata D moja 🤣
 
Ukiona umetamkiwa maneno makali na mwalimu ni dhahiri kabisa wewe ulikuwa msumbufu na mkorofi si bure, si wengine hata walimu tu walikuwa hawatujui kama tupo au hatupo shule
 
Alikua anachapa watu fimbo za mgongo ilipo fika zamu yangu nikamwaambia Mimi na matatizo ya mgongo either anichape matakoni au mikononi😊

Kakatokea kaubishani kidogo akasema sawa shika hapo nikuchape matakoni aisee akanishapa bonge la fimbo mgongoni
Nivile umechapwa fimbo ya nguvu mgongoni darasa Zima likaduwaa nilipatwa na ghadhabu MWALIMU aliliona Hilo na ningekua muhuni angechezea ngumi nikatoka zangu nje maana tungeweza kupigana na MWALIMU mule darasani..

Mwalimu akawa akija darasani anasema nitoke kwenye kipindi chake Kuna rafiki yangu mmoja akaenda kwa mwalimu kuniombea msamaha mwalimu akasema niende mwenyewe kumuomba msamaha nikajiuliza NIMWOMBE MSAMAHA KWA KOSA GANI?

Akasema sitofaulu na sitofika popote naulizia hapa ni wapi😊

Anaandika ✍️ Dr am 4 real PhD
 
😅😅😅😅 kamsalimie please
 
Ndo maana wamedumaa kimaisha sababu ya midomo yao, mtoto wa miaka 11-15 unampaje adhabu ya kuita mvua nyakati za kiangazi! Au kuchimba kisiki akishindwa unaanza kujifanya nabii eti jambazi wewe, umeshindikana, acha waendelee kudoda
Acha kulaani walimu,ubapaswa kuwashukuru kwa kazi ngumu wanayoifanya licha ya malipo yao kuwa kidogo
 
Nilikua form 1 nikamuuliza mwalimu wa science damu ya hedhi inatoka kwa muda gani? Akanijibu kwani mimi inanitoka kwa muda gani.

Aliona nimemdhihaki kumbe mwenzake nilikua sijui kitu kweli🥲
Form 1 huwa wanasoma science?
 
Wanaotamkiwa maneno mabaya mara nyingi hufanikiwa..wakikumbuka yale maneno wanazidi kupambana.
Nakubalianaa nawee Dada!! [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
4m 2 wa 2014. Huhuhuh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nimechekaaa sanaaaa, Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu mmojaja alimtongoza mwanafunzi ila Kwa sababu mwanafunzi alikuwa na mtu wake aliyempenda alinkataa ticha. Ticha akaanza kumwita yule mwananafunzi ARV akimaanisha ana waya duh! maticha wa bongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nina matukio mengii ya kukumbanaa na visaa kwa Walimu.
Ila hii ndo kila nikiikumbukaa naliaaa, siwezagi kuvumilia.

Niko 4m 3, mwalimu wa Chem, alitupatia Text, sasa kwenye Alama ambazo alitupangia tufikishee, ktk kundi langu, mie pekee angu sikufikishaa.

Aliniita ofisini, akaanza kunisemaa, "umeanza kushukaa eeh, na hapo bado hawajakuharibu vizuri unaanza kupoteaa, ngoja umalize 4m 4 ukakae home kwa muda, utaharibikaa zaidi nawee nakuambiaa hutamaliza 4m 6 utaacha mwenyewee, najua akili za kwenda advance unazo, ila wee hutamaliza 4m 6, utakujaa kuniuliza siku yake"

Nilitokaa ofisinii kijasho chembamba kinatiririka kwenye shati, machozi yanalengaa, Jah sio Jonas, nikamaliza o level salama, tokeo limetoka nimepasua well, selection za advance zikatokaa na kupelekwa shule nzuri na boraa.

Miaka 2 ilienda vyedii, siku ya graduation, nililia nyie had watu wote waliokua maeneo ya tukio walikua wanashangaaa, sasa kuna somo niliitwa kwenda kupewa zawadi, km waliamsha majini, kilio nililia hicho, napokea zawadi shati limeloa chozii, had kuna maadam kajaa kunitulizaa.

Nilikua nalia na mengii jamaniii, hatimaye nikahitimu salama, nkaenda chuo na degree nkaipata, bila Sup wala carry.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
A very touching story… pole darling

walimu wapunguze midomo asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…