Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

Bado naendelea na mtihani wa kutoka kwenye hiki kifungo Cha kujichua kinatesa Sana kwa kweli nimejipa saikolijia moja kila likija wazo la kujichua najichekea mwenyewe moyon na kujiambia hv unakili kweli yanI unataka ufanye ujinga huo Basi wazo linatoka
Tumia formula hii inaitwa 30-DHC yaani 30 Days habit challenge. Jiwekee lengo la kutopiga nyeto kwa mwezi. huku ukiwa unarekodi mara ngapi umeweza na mara ngapi umeteleza na muda gani. Ila kumbuka cha muhimu sana,kuacha kujichua ni kuacha tabia ya zamani ili uweze kuacha unatakiwa uanze mpya ambayo ita-replace tabia ya zamani
 
Hivi ni kweli kuna mtu kwa nyeto hawezi maliza hata afanye nn, kukitupa hawezi ?
 
Hatua ya kubalehe ni mbaya kama usipokuwa na mshauri au uangalizi wa mzazi na kupitia ndoto nyevu na zile nyege za kubalehe wengi wamezama humo kwenye NYETO na mpk leo hii wengine wameshindwa kuoa wanajiridhisha wenyewe mwingine hana habari na madem yeye na sabuni.

Wapo pia madem ndo kitulizo Chao NYETO hawaoni haja ya kuwa na mwanaume anaona akijikojoza mambo yanakaa mwake.

Oya sio poa NYETO ni mbaya hebu tuambiane angalau kwa uchache tu Mana wapo watakaopona na wapo watakao acha kuingia huko, mawazo chanya yatamuokoa na hilo janga.
Oa mwanamke mzuri ..kwisha kazi.


Ingawa mwanzoni utakuwa unamchungulia ukiwa umeshika mashine uki ejaculate, baadae utaacha. Nin mazoea tu
 
Kuacha huo mchezo Ni shughuli pevu Sana ila fanya yafuatayo;

1.Acha kuangalia video za ngono

2.Jifunze kutongoza mademu

3.Usizoee kukaa pekee yako especially chumbani,jitahidi Sana ukichanganye na watu mbadilishane mawazo kwenye mambo ya msingi

4.Fanya kazi na mazoezi ili uuchoshe mwili wako,hii itakusaidia Sana pale utakapoenda kitandani,utalala Mara Moja kutokana na uchovu ulionao mwilini.

5.Wahi kuamka asubuhi mapema at 6A.M

6.Practise nofap challenge
 
Wenzio wameacha Miaka mitano mkuu na hawakutangaza na Bado wamerudi Kwa Kasi,wewe saa 96 ushautangazia ulimwengu eti umeacha nyeto,umechanganyikiwa ww
Leo nimefikisha cku ya nne bila kupiga punyeto najitaidi Sana nitoke kwenye huu mchezo japo imenitesa kwa miaka mingi Sana Mara kadhaa huwa najarbu kuacha nashindwa nikijitaid wiki 2 narudi Tena.

Mniombee ndugu zangu huu mchezo imeniharibu Sana na safar bado Sana hapa nlipo hz cku nne tu naona Kama mwaka huu mchezo haufai Yan umenifanya nimewahi kuzeeka adi naona aibu ata kutembea na watu wa umr wangu Yan madhara n mengi adi apa naandika kwa kujikaza tu moyo umejaa machungu makali Sana kwa ninayopitia naishi maisha ya hofu hofu tu
 
Back
Top Bottom