Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

Tumia formula hii inaitwa 30-DHC yaani 30 Days habit challenge. Jiwekee lengo la kutopiga nyeto kwa mwezi. huku ukiwa unarekodi mara ngapi umeweza na mara ngapi umeteleza na muda gani. Ila kumbuka cha muhimu sana,kuacha kujichua ni kuacha tabia ya zamani ili uweze kuacha unatakiwa uanze mpya ambayo ita-replace tabia ya zamani
 
Hivi ni kweli kuna mtu kwa nyeto hawezi maliza hata afanye nn, kukitupa hawezi ?
 
Oa mwanamke mzuri ..kwisha kazi.


Ingawa mwanzoni utakuwa unamchungulia ukiwa umeshika mashine uki ejaculate, baadae utaacha. Nin mazoea tu
 
Kuacha huo mchezo Ni shughuli pevu Sana ila fanya yafuatayo;

1.Acha kuangalia video za ngono

2.Jifunze kutongoza mademu

3.Usizoee kukaa pekee yako especially chumbani,jitahidi Sana ukichanganye na watu mbadilishane mawazo kwenye mambo ya msingi

4.Fanya kazi na mazoezi ili uuchoshe mwili wako,hii itakusaidia Sana pale utakapoenda kitandani,utalala Mara Moja kutokana na uchovu ulionao mwilini.

5.Wahi kuamka asubuhi mapema at 6A.M

6.Practise nofap challenge
 
Wenzio wameacha Miaka mitano mkuu na hawakutangaza na Bado wamerudi Kwa Kasi,wewe saa 96 ushautangazia ulimwengu eti umeacha nyeto,umechanganyikiwa ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…