Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Ni mchanga upi huu tunaokanyaga au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mimi huyo, nilikua nae kuna fala akanipiku akabeba jumla,yaani raha yake usipimeWakuu,
Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake.
Kiukweli inaumiza mno,
Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae TU mood yote juu yake inakatika Kwa Sababu ya ya mchanga ukeni.
Unatamani labda umwambie laivu, "Una mchanga ukeni, twende ukatibiwe" , Ila nafasi inasita, Ntaanzaje kumtakia Binti WA watu maneno magumu hivyo.
Unawaza au upigie chini mahusiano Kimya kimya, siku ya kwanza TU baada ya kusex nae. Na nisimwambie kisa Ni Nini. Ila naona kiubinadami atajiskia vby Sana, Na haijakaa sawa kabisa.
Unawaza, labda utafte madawa mitandaoni au hospitalini umletee anywe tu, Ila unawaza Ntamnywesha vipi madawa na nisimwambie anakunywa ili kutibu Nini.
HEBU WAKUU MLIOFANIKIWA KUTATUA CHANGAMOTO HII.
NAMBIENI MLIWEZAJE KUSHAURIANA NA WENZI WENU KTK KULITATUA HILI
NAMBIENI pia MAPOKEO na MATOKEO yalikuwaje Kwa pande zote mbili.
Nawasilisha🙏🙏
Kiaje ?Mchanga!!!
Utoe kwa kidole
Kwanini umemchezea dada wa watu 😂Yupo mkoani mkuu (moro), Kwasasa tumepeana break kdg
🎯 🎯 🎯copy n paste from grok AI
The sensation of sand on the penis during sex is most likely caused by the partner's vaginal dryness, which can lead to friction that feels rough or grainy. Vaginal dryness is common, especially during or after menopause, and can be due to hormonal changes, medications, or other factors. This dryness might make the vaginal tissues feel less lubricated, leading to discomfort during sex that the penis perceives as sand-like.