Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Wakuu,
Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake.

Kiukweli inaumiza mno,
Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae TU mood yote juu yake inakatika Kwa Sababu ya ya mchanga ukeni.

Unatamani labda umwambie laivu, "Una mchanga ukeni, twende ukatibiwe" , Ila nafasi inasita, Ntaanzaje kumtakia Binti WA watu maneno magumu hivyo.

Unawaza au upigie chini mahusiano Kimya kimya, siku ya kwanza TU baada ya kusex nae. Na nisimwambie kisa Ni Nini. Ila naona kiubinadami atajiskia vby Sana, Na haijakaa sawa kabisa.

Unawaza, labda utafte madawa mitandaoni au hospitalini umletee anywe tu, Ila unawaza Ntamnywesha vipi madawa na nisimwambie anakunywa ili kutibu Nini.

HEBU WAKUU MLIOFANIKIWA KUTATUA CHANGAMOTO HII.

NAMBIENI MLIWEZAJE KUSHAURIANA NA WENZI WENU KTK KULITATUA HILI

NAMBIENI pia MAPOKEO na MATOKEO yalikuwaje Kwa pande zote mbili.

Nawasilisha🙏🙏
Nilijua nimesikia Vyote, mchanga? Mshangazi dot com nieleweshe mimi Sijaelewa
 
Hapo namwandaaje ili asijihisj namnyanyapaa
Rafiki wa kweli ni yule ambaye hakufumbii macho wala kukupaka mafuta. Umeshajua pisi inachangamoto yenyewe yawezekana haitambui hio changamoto sasa ni wajibu wako kumsaidia achukie asichukie ila wewe utakuwa umeshamsaidia kiroho safi.
 
Wakuu,
Mjue hamna kitu kigumu sn Kama kukatisha penzi jipya, Kwa mtu uliemuelewa Sana, eti kisa TU changamoto za maumbile yake.

Kiukweli inaumiza mno,
Unakutana na Binti umempenda, Ila ukisex nae TU mood yote juu yake inakatika Kwa Sababu ya ya mchanga ukeni.

Unatamani labda umwambie laivu, "Una mchanga ukeni, twende ukatibiwe" , Ila nafasi inasita, Ntaanzaje kumtakia Binti WA watu maneno magumu hivyo.

Unawaza au upigie chini mahusiano Kimya kimya, siku ya kwanza TU baada ya kusex nae. Na nisimwambie kisa Ni Nini. Ila naona kiubinadami atajiskia vby Sana, Na haijakaa sawa kabisa.

Unawaza, labda utafte madawa mitandaoni au hospitalini umletee anywe tu, Ila unawaza Ntamnywesha vipi madawa na nisimwambie anakunywa ili kutibu Nini.

HEBU WAKUU MLIOFANIKIWA KUTATUA CHANGAMOTO HII.

NAMBIENI MLIWEZAJE KUSHAURIANA NA WENZI WENU KTK KULITATUA HILI

NAMBIENI pia MAPOKEO na MATOKEO yalikuwaje Kwa pande zote mbili.

Nawasilisha🙏🙏
Hata sisi mashangazi hili hatujawahi kukutana nalo wala kulisikia, mchanga tena 😳
giphy.gif
 
Yaani wee acha tu, Na ndo ujikute ushahudumia Sana mpk mmefika kwny date ya namna hiyo. KiHASIBU unajihesabu umepata hasara
😀😀😀😀😀 akiii hadi ukajitukana huo muda bora ungeutumia na mam G wako hata kwa style moja hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom