Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Hata sijui unafananaje mkuu,
Ila nikiingiza ndo nauskia unavoscratch balaa
Mkuu hii ishanikuta yani ni kama vijisesele sesele flani vinaugasi gasi uume yani hadi unakufa ganzi asee inakera sana sema nahisi wengi hawajakutana nao ndo maana wanaona kama kitu kigeni..
 
Sijasoma kilichoandikwa ila nimesoma kichwa cha habari kumbe ile nyimbo ya Asley kuna kipande anasema “kitumbua kikiingia mchanga nitaumbuka mwenzenu””
Kumbe ni ukweli huwa kinaingiaga mchanga 🤣🤣
 
Mkuu kuna nwaka 2012 hadi 2013 nilikuwa na mpenzi wangu...kila tukimaliza kufanya tendo la ndoa kwa mara kwanza nahisi maumivu kama kuna kitu kimeumiza dudu langu..hivyo inaleta ugumu kurudia tendo la ndoa mara ya pili.
Hivyo nilidumu nae kwa mwaka mzima ila tulikuwa tunafanya mapenzi mara moja tu kila tukikutana make nikitaka kuruduia nahisi maumivu kama nilikua nakwaruzwa wakati nafanya mapenzi. Au ndiyo mchanga unayosema? Make mpaka tunaachana sikujua tatizo ilikuwa ni nini.
Ni hivyo hivyo ulivoelezea, uume unauma Balaa utadhani ulkua unapigwa msasa
 
Mkuu hii ishanikuta yani ni kama vijisesele sesele flani vinaugasi gasi uume yani hadi unakufa ganzi asee inakera sana sema nahisi wengi hawajakutana nao ndo maana wanaona kama kitu kigeni..
Sahii kabisa,
Na Bora wasikutane nao maana kama una roho nyepesi mahusiano yanakufa siku hiyo hiyo mliyosex.
 
Ukisikia wanakwambia " kitumbua kimeingia mchanga" ndo hii sasa jameni. 😁
 
Back
Top Bottom