Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Acha uzinifu mkuu. Wewe tayari una mke. Kuna magonjwa ya zinaa utaambukizwa
 
That's VAGINAL DRYNESS. Mkuu mfanyie ratiba ya kula zaidi mboga kama BAMIA, mrenda, nyanya chungu, biringanya, avocado's, banana something like this after two or three weeks kitu itakuwa very smooth 😂
Mkuu,Hamna tiba ya Moja Kwa Moja Kama vidonge, sindano n.k?
 
Watu mnaishi na vifaa vya ujenzi na hamsemi ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…