Uliwezaje kutatua tatizo la mchanga ukeni na mwenza wako?

Kama umempenda kweli kama unavosema mwambie kiupole na kiustaraabu then muende hospital akatibiwe
 
Mchanga hupi? Tipa moja huku kwetu la ujazo 2.5meter za ujazo ni 60,000/= piga pesa mkuu
 
Huo ni ukavu ukeni, nishakutana na baadhi ya mbunye ambazo ni kaukau sema nyingi huwa zinakuwa na fungus infection ndio hupelekea **** kuwa kama msasa.
Assumption Ni nyingi Sana mkuu, Kuna wanaosema
1. Inasababishwa na vipipi utamu wanavyopachika uko chini.

2. Inasababishwa na kujiswafi Kwa kutumia maji chumvi pamoja na sabuni za magadi uko chini

3. Matumizi ya energy drinks uliopita kiasi kwa wanawake, hasa wanapokaribia Menstruation period.

4. Magonjwa ya zinaa kutotibiwa Kwa MDA mrefu

5. Kuweka manukato chini Yale ya vipunje punje.

N.k
 
Mtawa wa mchongo😅👇
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaofanya ngono wanakutana na magumu mengi, na bado hawakomi.

Bora niendelee kuwa mtawa.
 

Attachments

  • IMG_20250216_204257.jpg
    98.1 KB · Views: 1
Just when I thought I have heard it all, kumbe kuna mpaka mchanga wa papuchi🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…