Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ujue forex ni ngumu wengi wanakimbilia kuifundisha ili waishi kwa kufundisha.Haaaahaaa wazee wa forex ngoja aje Ontario akupe muongozo unaweza tengeneza millions of dollars per week!
Utatembelea Vieite na kujenga hekalu oysterbay
Wapi bill Lugano
Nadanganya wadau?
😂😂😂
ANZISHA KITUO CHA MAFUTA YA MAGARIAisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2
Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Endelea kupiga domo huku unalala njaa!Wewe uvccm acha utapeli. Nitakusemea kwa mama.
Kabisa mkuu!Kaka mi nikiwa na mtaji wa $10,000 kwa fx hiyo laki 3 ndogo sana ntatengeneza $500
Fanyeni kazi halali nyieeKabisa mkuu!
Tena hiyo $500 ni ndogo. Ni basi tu watu hawana mitaji ila hakuna biashara inalipa kama forex ukiipatia
Hii ni kwa hesabu ya wapi?Kama mshahara ni milioni 6 kwa mwezi hivi si ndio laki 2 kwa siku hii?
Eti nikawaza ukichukua mshahara wa milioni 6 kwa mwezi ukagawa kwa siku 30 inakuwa kila siku unaingiza laki 2 etiHii ni kwa hesabu ya wapi?
Mkuu forex siyo mteremkoFanyeni kazi halali nyiee
Msipende mteremkoo
Ova
Kwa mtu mwenye skill na forex sidhani Kama huu ni muujiza!Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2
Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku mojne
Nenda kigoma wakakupe ndagu ya kutokujisaidia chooni wew ni vichakani tuu hahah ndagu bana😁Aisee leo nimeshangaa naambiwa kuna jamaa anatengeneza MILLION KWA SIKU MOJA
wakati hiyo n budget yangu miez2
Malengo yangu kwa sasa nikuweza kutengeneza laki 2 tu kwa siku!Mlioweza mliwezaje kutengeneza 200,000/= kwa siku moja?
Unavyotaja hizo pips 100 utafikiri ni rahisi kama kupiga kura ya ndio, consolidation, negative volatility bado mabroker watrade against em usitukumbushe haya mambo we kama unatrade huko ccm kwa hela za chama trade tu sawa!?..Kama hufuati money management inapotea ndani ya sekunde,
Ila kama una trede kitaalamu hiyo laki 3 ni sawa na dola 140 ambapo unahitaji kuweka lot ya 0.20 position moja tu ikitembea pips 100 tayari.
Na hapo ni ngumu sana kuunguza hata usipoweka stop loss
Mkuu nazitafuta sana hizi kazi, please nielekeze website japo hata moja tu nianze kupiga kazFreelancer job 40$ per hour
Mkuu kwani ulishikiwa bunduki kwamba utrade?unavyotaja hizo pips 100 utafikiri ni rahisi kama kupiga kura ya ndio, consolidation, negative volatility bado mabroker watrade against em usitukumbushe haya mambo we kama unatrade huko ccm kwa hela za chama trade tu sawa!?..
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Au kuipoteza yote ndani ya siku moja ni kama kutema maji tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]