Uliwezaje kutengeneza laki mbili kwa siku?

Saloon ya mtaji wa 20m ikupe faida ya laki 2 kwa siku!Unaota mkuu
Kunyoa ndevu elf 25k, kuchonga 10k, mtindo 50k wewe unaishi mbagala nn?πŸ˜‚assume kaja mtu mmoja kunyoa ndevu, mtindo na akachonga. Tyar 75k wakija watatu tayari unafunga kazi
 

Hapo kwene kukupa wewe 300,000 ndo nimeona pagumu kwingine nimekuelewa mkuu
 
Hakika umenena
 
Ikoje hii ?
 
Kutengeneza laki 2 kwa siku ni simple tu ,ila usitarajie kwamba kuna mswahili atakuja mtandaoni hapa kukupa siri yake hata ya kutengeneza buku kwa siku.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro mbona jf ina waswahili wengi wanaoshare idea zao za kutengeneza pesa
 
Mbona simple sana inategemeana na mtaji uliyowekeza na aina ya biashara unayofanya. Mfano ukifungua saloon ya kisasa yenye mtaji wa milion 15 mpaka 20 hiyo pesa unaipata
Duh. Hiyo saloon uwe na uhakika na wateja.
 
Unaweza kuipata hiyo laki 2 almost kila siku kama unafanya ishu za blogging kupitia adsense,adsterra ama propeller ads

Android apps kupitia facebook audience network ama admob

Ama kama unafanya day trading kwenye cryptocurrency markets

Zote hizo ni mishe za online ila unahitaji maarifa kidogo ili uweze kuzifanya vzr na ukapata hayo matokeo
 
Kaka mi nikiwa na mtaji wa $10,000 kwa fx hiyo laki 3 ndogo sana ntatengeneza $500
Unasubiri nini kutengemeza hizo dolla 500 ukaacha kujielezea sana hapa jf mara sjui leta nikutredie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unadhani pesa ni matako eehhh mkuu tafuta kitu cha kufanya forex ni mchezo wa mazezeta
 
Ukiwa na mtaji wa $10,000 kwenye account yako ya forex, kutengeneza laki 3 kwa siku ni kama kunywa maji tu.
wacha kuzungumzia fx naiona kama HIV an nikiiskia nahis kupalalaiz miguu na ubongo
alienishawish kutrade mungu anamuona
#maskini kiwanja changu πŸ˜₯
 
Mkuu twende hivi,
Tsh200,000 kwa siku maana yake ni Tsh600,000 kwa mwezi.


Sasa kwa mfuko wa bond fund UTT ili upate. Profit kwa mwezi mil sita sawa na 0.9% ya mtaji, hivyo yakupasa kuwa na Capita ya mil 670 Tsh. Sawa na dola292k

Mil 670, fanya tu hivi, nunua instant account kwa prop firm ya Dola 10000, then itrade Hadi Dola 292k ,ukifikisha usipoteze muda chomoa kwenda bank account then hamishia UTT.ukifanikiwa tu, basi utakuwa unapokea gawio la 6mil miaka yote utakayoishi duniani.sawa na 200k kwa mwezi.. provided capital Yako IPO palepale.
 

insta acc unafanyaje business au unamaanisha forex acc
 

insta acc unafanyaje business au unamaanisha forex acc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…