Haiwezekani karudie mtihani au tumia cheti cha kidato cha nne kusoma cheti kwanza
NdiyoJe mwalimu wa cheti aliehitimu masomo 2019 na akapata GPA ya 3.3 na bado hajaajiliwa anaweza kujiunga na masomo ya diploma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wanaprospectusOut wana prospectus, kama ipo nawezaje kuipata.
Ooh pole hakuna kozi HiyoKuna course za afya zinatolewa hapo out?nahitaji kusoma clinical officer Ngazi ya cheti ...kuna uwezekano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadahili unaendelea kuna intake nne kwa mwaka.Udahili unaanza lini?
Je unaweza kudahiliwa kwa kusoma program 2 tofauti kwa wakati mmoja? Mfano kudahiliwa kwa degree program ya uchumi na PhD program ya rasilimali watu kwa mwaka 2020/2021
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna degree ya education science eg CBE,CME,PCE,PME,CE etc na ni miaka mingapi? Ufafanuzi please.Unadahili unaendelea kuna intake nne kwa mwaka.
October intake
January Intake
April Intake
July intake
Kusoma programme Mbili kwa wakati mmoja hairuhusiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadahili unaendelea kuna intake nne kwa mwaka.
October intake
January Intake
April Intake
July intake
Kusoma programme Mbili kwa wakati mmoja hairuhusiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna degree ya education science eg CBE,CME,PCE,PME,CE etc na ni miaka mingapi? Ufafanuzi please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usajil wa mitihan ya OFP ya annual unaanza lin mkuu???
Bado usajili haujaanza ukianza mtatangaziwa unaanza lini na unaisha lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Entry qualification.?PHD ni kwa aliyemaliza masters
Gharama payable direct kwa university ni 6,500,000
Time ni 3-5 yrs
Sent using Jamii Forums mobile app