dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
- #81
Bado ratiba ya usajili wa mitihani haijatoka, ikitoka ratiba itaonyesha siku ya mwisho wa usajili wa mitihani ndio siku ya mwisho pia kulipia na kusajili.Kulipia mitihan ya mwez wa tano ya annual ya OFP mwisho lin????
Ratiba ya awali inaonyesha katikati ya mwezi wa Tano mitihani inaanza.
Wiki moja na nusu hivi kabla ya kuanza mitihani huwa mwisho wa kusajili so mwisho wa mwezi wa nne nakadiria huenda ikawa mwisho wakusajili mitihani.
Sent using Jamii Forums mobile app