Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

natamani kusoma masters OUT sababu ya kazi yangu kunibana na kozi ninayotaka kusoma huku mkoa nilipo ni lazima nisome full time,sasa swali langu hapa je nikisoma OUT,kweli waajiri wanairespect elimu ya huko ?
 
Nimetumiwa Email kuwa nimechaguliwa kwa Masters nisubiri majina yatoke kwenye website ya chuo then nikareport kwa usajili na orientation. Je mkuu kuna haja ya kujaza hiyo form maually?
Hakuna haja ya kujaza tena application form,utapaswa kujaza form ya usajili tu na kuipeleka ofisi husika.

Kwa maelekezo zaidi fika ofisi za OUT zilizo karibu nawe.
 
natamani kusoma masters OUT sababu ya kazi yangu kunibana na kozi ninayotaka kusoma huku mkoa nilipo ni lazima nisome full time,sasa swali langu hapa je nikisoma OUT,kweli waajiri wanairespect elimu ya huko ?
Elimu ya OUT ni kama elimu ya chuo kingine chochote kinachotambuliwa na TCU. tofauti ni mifumo ya usomaji tu na huku dunia ya tatu hatujazoea kusoma mpaka kuwe na vipindi vya face to face.
Namna ya uwasilishaji wa maarifa yaleyale Ndio inakua kwa mfumo wazi na Masafa.
 
Nimetumiwa Email kuwa nimechaguliwa kwa Masters nisubiri majina yatoke kwenye website ya chuo then nikareport kwa usajili na orientation. Je mkuu kuna haja ya kujaza hiyo form maually?
Ijaze fomu uattach na picha uende kituo cha Karibu cha OUT utapewa maelekezo nini kinafuata
 
Back
Top Bottom