Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Nimesoma dipoma ya mining engineer naweza soma bachelors ya nini apo kwenu?
Je mna IT
 
Nikipiga mzinga form six (wa bahati mbaya) naruhusiwa kujiunga na chuo kikuu huria?
 
Nikiwa na G.P.A ndogo ya Diploma kutoka moja chuo kinachotambulika na T.C.U nawezaje kupata nafasi ya kusoma kuendelea na Degree , Msaada tafadhali....

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Hautaweza kupata nafasi kuendelea na Degree chuo chochote Kama hujafikia minimum qualifications zinazotolewa na TCU.
Labda Utaweza kuomba OUT usome foundation programme Kwanza ndipo uendelee na Degree.
 
Muda wa kufanya udahili kwa level ya Masters ni mwezi gani?
 
Muda wa kufanya udahili kwa level ya Masters ni mwezi gani?
Application za Masters zinaendelea, Unaweza kuomba kwa kujaza fomu kisha unascan na vyeti unatuma au unaipeleka kituo chochote cha OUT kilicho Karibu.
 
Application za Masters zinaendelea, Unaweza kuomba kwa kujaza fomu kisha unascan na vyeti unatuma au unaipeleka kituo chochote cha OUT kilicho Karibu.
Nimetuma maombi kutumia SARIS sasa kuna haja ya kujaza tena hiyo form manual na kuscan na kuituma na vyeti?
 
Application za Masters zinaendelea, Unaweza kuomba kwa kujaza fomu kisha unascan na vyeti unatuma au unaipeleka kituo chochote cha OUT kilicho Karibu.
Maana maelezo yote yaliyokupo kwenye form ndy niliyoyajaza kwenye system ya SARIS mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…