Fanya yafuatayo ili mkeo atoe majinazungumzia
Namaanisha maji yanayoruka na kutiririka kama maji ya bomb a.
Shukran Mkuu bado hili swali "Bei ya Ardhi/mapori Ni shingapi?"Inategemea umri na ukubwa
Wa nyama au maziwa
Ila ndama laki 6 unapata
Vijijini Mkuu kwa Ajili ya mfugoArdhi ni ipo utapata inategemea na maeneo ya mjini au vijijini
Asante Sana MkuuKule sehemu ya kuchunga ni Bure
Nenda Kyerwa Kuna sehemu ya kuchunga inaitwa Kaundwe Hapa hata kama una mifugo 1000
Utafuga Kwa amani
Malisho na maji ya asili yapo na Bure kabisa
Wilaya gani inaogoza kwa mapato ya serikali. Na wilaya gani yenye matajiri wengi katika mkowa wa kagera? Pili mimi napenda kuishi sehemu yenye ukijani wa mazingira ni wilaya ipi inapata vuwa nyingi kwa mwaka ambopa unaweza kufanya kilimo kwa mwaka mzima?Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Nitajibu kila swali leo
- Uchumi
- Wakazi na Makazi
- Historia
- Makabila
- Fursa za Uchumi
- Hali ya hewa
- Mahusiano n.k
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
- Bukoba manispaa
- Karagwe
- Ngara
- Biharamlo
- Muleba
- Kyerwa
- Misenyi
- Bukoba vijijini
Sehemu Bora ni Karagwe au KyerwaWilaya gani inaogoza kwa mapato ya serikali. Na wilaya gani yenye matajiri wengi katika mkowa wa kagera? Pili mimi napenda kuishi sehemu yenye ukijani wa mazingira ni wilaya ipi inapata vuwa nyingi kwa mwaka ambopa unaweza kufanya kilimo kwa mwaka mzima?
Asante nitakuja kutembea kabla sijaamuwa.Sehemu Bora ni Karagwe au Kyerwa
Kule Kuna matajiri, Kuna biashara sana,
Kuna kahawa na madini
Nenda hizo sehemu
😁😁😁Dah basi sawa kwakuwa mtoa mada kasema atajibu kila swaliKuna kademu kangu kwao ni karagwe ni kanyambo ,mwaka jana kalimaliza chuo katakuwepo karagwe au kameshaenda dar?
Ni wahaya, ambapo ndipo kuna hayo matabaka ya kiutawala watu wa nshamba wanaitwa wanyaiyangilo, kamachumu wanaitwa waamba, hii yote ni mleba, ukienda bukoba town wanaitwa wayoza, ukienda kanyigo mpaka misenye huwa wanaitwa waziba haya sio makabila ni matabaka ya kiutawala ya falme ila lugha yao ni moja tu kihaya wanaweza kutofautiana lahaja za utamkaji na namna ya kusound matamshi yao. Huyu atasema mwami huyu aseme mlangira, huyu aseme ni owaitu huyu aseme omuka.Watu wa muleba ni Kabila Gani?
Kila sehemu duniani huwa kuna Imani ya aina flan ya uchawi, uchawi wa Kagera ni kuwa maiti ikizikwa wachawi huja usiku na kuifukua kimiujiza (bila kuondoa udongo au jeneza) na kwenda kumla marehemu! Siku za kulinda ni kuhakikisha marehemu ameoza na hivyo hawezi kuliwa nyama. Kulinda kaburi kuna mambo mengine kama mazindiko NK, miaka ya 82 hadi 84 ulifika hatua wakawa wanamchoma maiti sindano za sumu ya wadudu kama Thiodan nk.Inasemekana watu wa mkoa huo mkizika mnasubiri makaburini kwa siku 14, hiyo ikoje na inamaanisha nini kiimani?
Sio kweliNi wahaya, ambapo ndipo kuna hayo matabaka ya kiutawala watu wa nshamba wanaitwa wanyaiyangilo, kamachumu wanaitwa waamba, hii yote ni mleba, ukienda bukoba town wanaitwa wayoza, ukienda kanyigo mpaka misenye huwa wanaitwa waziba haya sio makabila ni matabaka ya kiutawala ya falme ila lugha yao ni moja tu kihaya wanaweza kutofautiana lahaja za utamkaji na namna ya kusound matamshi yao. Huyu atasema mwami huyu aseme mlangira, huyu aseme ni owaitu huyu aseme omuka.
Ukiondoa wanyambo, wasubi na wahangaza wanaobakia wote ni wahaya wenye matabaka ya kiutawala. Mimi ninaye kwambia hivi ni muhaya wa muleba nshamba ambapo ni wanyaiyangilo, ukienda kamachumu kule nayo ni muleba hao ni wahaya waamba ambao tofaut ni matamshi tu soundness ila sio lugha. Bukoba mjini bugabo ni wahaya ila wayoza ukienda kanyigo na kiziba ni wahaya wenye uziba wao na hizo ni tabaka tu za kifalme kina kaigi nk.Sio kweli
Mhaya ni mziba, muyoza na watu wa bugabo
Wahamba na wanyaiyangiro ni makabila makubwa wana lugha na tamaduni zao wala sio wahaya
Wanyambo wa Karagwe ni kabila kubwa wala sio wahaya
Wasubi wa Biharamlo sio wahaya
Watu wa Misenyi sio wahaya
Hivi kwanini wahaya wa Bukoba Huwa mnalazimisha sisi watu wa Kagera wote tuwe wahaya na hatuhitaji
Kabila la wahaya ni dogo hapa kwetu Kagera
Nimekwambia Muleba hakuna mhayaUkiondoa wanyambo, wasubi na wahangaza wanaobakia wote ni wahaya wenye matabaka ya kiutawala. Mimi ninaye kwambia hivi ni muhaya wa muleba nshamba ambapo ni wanyaiyangilo, ukienda kamachumu kule nayo ni muleba hao ni wahaya waamba ambao tofaut ni matamshi tu soundness ila sio lugha. Bukoba mjini bugabo ni wahaya ila wayoza ukienda kanyigo na kiziba ni wahaya wenye uziba wao na hizo ni tabaka tu za kifalme kina kaigi nk.