Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

nazungumzia

Namaanisha maji yanayoruka na kutiririka kama maji ya bomb a.
Fanya yafuatayo ili mkeo atoe maji

Kwanza zingatia lishe
Mlishe mkeo vyakula laini sio vikavu na vigumu
Mwanamke hapaswi kula ugali wa mtama, ulezi na ugali Kwa ujumla

Mpe ndizi za kupika, maharage, nyanya chungu, nyama, samaki na maziwa n.k

Mwanamke asifanye kazi ngumu
Kulisha wanyama, kulima sana, kupasua Kuni
Hapo hatapata maji
Mpe furaha, mwanamke akiwa na furaha na akili yake imetulia atamwaga maji kama Bomba ila akiwa na stress umemwachia elfu 7 af unataka usiku atoe maji haiwezekani
 
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
Wilaya gani inaogoza kwa mapato ya serikali. Na wilaya gani yenye matajiri wengi katika mkowa wa kagera? Pili mimi napenda kuishi sehemu yenye ukijani wa mazingira ni wilaya ipi inapata vuwa nyingi kwa mwaka ambopa unaweza kufanya kilimo kwa mwaka mzima?
 
Sehemu Bora ni Karagwe au Kyerwa
Kule Kuna matajiri, Kuna biashara sana,
Kuna kahawa na madini
Nenda hizo sehemu
 
Watu wa muleba ni Kabila Gani?
Ni wahaya, ambapo ndipo kuna hayo matabaka ya kiutawala watu wa nshamba wanaitwa wanyaiyangilo, kamachumu wanaitwa waamba, hii yote ni mleba, ukienda bukoba town wanaitwa wayoza, ukienda kanyigo mpaka misenye huwa wanaitwa waziba haya sio makabila ni matabaka ya kiutawala ya falme ila lugha yao ni moja tu kihaya wanaweza kutofautiana lahaja za utamkaji na namna ya kusound matamshi yao. Huyu atasema mwami huyu aseme mlangira, huyu aseme ni owaitu huyu aseme omuka.
 
Inasemekana watu wa mkoa huo mkizika mnasubiri makaburini kwa siku 14, hiyo ikoje na inamaanisha nini kiimani?
Kila sehemu duniani huwa kuna Imani ya aina flan ya uchawi, uchawi wa Kagera ni kuwa maiti ikizikwa wachawi huja usiku na kuifukua kimiujiza (bila kuondoa udongo au jeneza) na kwenda kumla marehemu! Siku za kulinda ni kuhakikisha marehemu ameoza na hivyo hawezi kuliwa nyama. Kulinda kaburi kuna mambo mengine kama mazindiko NK, miaka ya 82 hadi 84 ulifika hatua wakawa wanamchoma maiti sindano za sumu ya wadudu kama Thiodan nk.

Pamoja na kulinda kaburi kuna wakati wenyeji hudai zoezi limeshindikana na maiti imechukuliwa hasa upepo na mvua vikitokea usiku na kaburi "kubonyea"
Jambo la kufurahisha katika Imani hiyo hakuna kaburi hata moja Kagera ambalo likifukuliwa sasa hivi utakosa mifupa ya marehemu....nilishuhudia makaburi mengi yanahamishwa wakati WA mradi flani WA Barbara na mifupa ilokuepo, Jambo jingine maiti zisizo na ndugu ambazo huzikwa na serikali wala haziibiwi pamoja na kulinda!
Nimeishi huko utotoni na kujifunza mengi!
 
Ni wahaya, ambapo ndipo kuna hayo matabaka ya kiutawala watu wa nshamba wanaitwa wanyaiyangilo, kamachumu wanaitwa waamba, hii yote ni mleba, ukienda bukoba town wanaitwa wayoza, ukienda kanyigo mpaka misenye huwa wanaitwa waziba haya sio makabila ni matabaka ya kiutawala ya falme ila lugha yao ni moja tu kihaya wanaweza kutofautiana lahaja za utamkaji na namna ya kusound matamshi yao. Huyu atasema mwami huyu aseme mlangira, huyu aseme ni owaitu huyu aseme omuka.
Sio kweli
Mhaya ni mziba, muyoza na watu wa bugabo
Wahamba na wanyaiyangiro ni makabila makubwa wana lugha na tamaduni zao wala sio wahaya
Wanyambo wa Karagwe ni kabila kubwa wala sio wahaya
Wasubi wa Biharamlo sio wahaya
Watu wa Misenyi sio wahaya

Hivi kwanini wahaya wa Bukoba Huwa mnalazimisha sisi watu wa Kagera wote tuwe wahaya na hatuhitaji
Kabila la wahaya ni dogo hapa kwetu Kagera
 
Bro niko serial nahitaj mke wa kuoa alietulia 0676179824 nitashukru ,akiwa msom itapndez zaid
Ndoa ni makubaliano
Sasa hapa mtandaoni nitakusaidiaje
Fika Kagera
Tafuta Binti
Chumbia Nina Imani utapata wako
 
Sio kweli
Mhaya ni mziba, muyoza na watu wa bugabo
Wahamba na wanyaiyangiro ni makabila makubwa wana lugha na tamaduni zao wala sio wahaya
Wanyambo wa Karagwe ni kabila kubwa wala sio wahaya
Wasubi wa Biharamlo sio wahaya
Watu wa Misenyi sio wahaya

Hivi kwanini wahaya wa Bukoba Huwa mnalazimisha sisi watu wa Kagera wote tuwe wahaya na hatuhitaji
Kabila la wahaya ni dogo hapa kwetu Kagera
Ukiondoa wanyambo, wasubi na wahangaza wanaobakia wote ni wahaya wenye matabaka ya kiutawala. Mimi ninaye kwambia hivi ni muhaya wa muleba nshamba ambapo ni wanyaiyangilo, ukienda kamachumu kule nayo ni muleba hao ni wahaya waamba ambao tofaut ni matamshi tu soundness ila sio lugha. Bukoba mjini bugabo ni wahaya ila wayoza ukienda kanyigo na kiziba ni wahaya wenye uziba wao na hizo ni tabaka tu za kifalme kina kaigi nk.
 
Nimekwambia Muleba hakuna mhaya
Kuna wahamba na wanyaiyangiro
Ambao wa lugha Yao isiyokiwa kihaya wana tamaduni zao tofauti na wahaya
Wana miiko Yao tofauti na wahaya
 
Back
Top Bottom