Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Ipo hewani tu ila alinunua mtu mwingine, Kagasheki aliuza....sijuhi wanasiasa hela huwa wanapeleka wapi, speed yao ya kuiba huwa ni Sawa na speed ya hela kuwaishia!
Hapo sawaa..

Kuna hotel INAITWA RWABIZI Bado ipooo..
 
Kwanini vitanda kwenye guest house lodgings na mahoteli vimewekewa waterproof sheets
 
Walkgard hotel, victorious na coloping hotel enzi zetu zilitisha sana sijui siku hizi kama bado zinavuma.
 
Nimefika Bukobaa MAZEEEEEE kama unakuja huku jiandae na adha ya kutafuta nyumba ya kupanga Yani HAKUNA NYUMBAAAAAA
 
Mh
Hizo habari zipo
Ila sijawi kuthibitisha
Nasikia ukienda visiwa vya Goziba ovyo umekwish

Hizo habari zipo
Ila sijawi kuthibitisha
Nasikia ukienda visiwa vya Goziba ovyo umekwisha
Mh. Ndo niliko mpaka sasa. Hizo habari huwa nazisikia kuwa ni bugabo maeneo ya buzi ila nishawahi fika kule nikaona ni uzushi tu
 
Kwanini wanawake wa Kihaya wamekuwa wakijiuza miili hasa mitaa ya uswahilini kwa Dar maeneo ya Buguruni,Temeke,Mwananyamala na Msasani Mikoroshini japo kwa sasa tabia hiyo imeenea karibu katika makabila yote hapa nchini?
 
Gezaulole Kigamboni Wahaya wa ubandani ni buku mbili mbili, imekaaje hii mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…