Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hapo sawaa..Ipo hewani tu ila alinunua mtu mwingine, Kagasheki aliuza....sijuhi wanasiasa hela huwa wanapeleka wapi, speed yao ya kuiba huwa ni Sawa na speed ya hela kuwaishia!
Kuna hotel INAITWA RWABIZI Bado ipooo..