Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Hakuna Wilaya ya Bukoba Manispaa na Bukoba Vijijini kijana, Wilaya ni Moja inaitwa Bukoba ambayo ndani yake kuna Halmashauri mbili za Bukoba vijijini na Manispaa.
Nayakubali masahihisho yako mkuu
 
Mbona mazao ya miti hasa pine haina bei kulinganisha na mikoa ya nyanda za juu kusini? Nini tatizo la miti ya Kagera?
Bidhaa ikishakuwa nyingi sokoni hata thamani hupungua. Ndo kinachotokea bukoba miti ya pine imezagaa Kila Kona ndo maana haina bei ukilinganisha na hizo sehemu ulizotaja.
 
Kwanini wanawake kutoka Kagera wamekuwa wakisifika sana kwa biashara haramu ya kuuza miili yao ?
 
Kawaida matanga Kwa wakazi wa Kagera ni siku 4, hizi tunaamini zinatosha kuwa faraja Kwa familia

Hizo ni story kuwa wanawake kutoka mkoa wa Kagera ni Makahaba sio kweli
Wengi ni kutoka Singida, Dodoma na Mtwara
Mkuu ambaye anadhani wanawake wa kabila lake sio makahaba aweke kabila lake hapa tumpatie data.
Kwani engonga,wale wanawake 400 aliolala nao tena wenye nyadhifa nao wanatoka mkoa kagera?
 
Hizo jamii zipo Kila sehemu hapa Tanzania I meant (wachawi) sio kwa bukoba tu
sijaongelea wachawi, nazungumza kabila kama kabila, kama mtu amekufa mkazika mkaondoka watakuja kufukua ndio maana kukawa na utaratibu wa kukaa kwenye kaburi kwa siku 14 hasa vijana wanakoka moto wanaletewa na msosi huko huko, hii ni kwa mujibu wa mama mmoja wa kihaya alipata kunihadithia
 
Naskia asilimia kubwa ya watu wa NGARA ni warundi je ni kweli

Alikuongopea wanaokuka nyama za watu ni wachawi
P
 
Mkuu ambaye anadhani wanawake wa kabila lake sio makahaba aweke kabila lake hapa tumpatie data.
Kwani engonga,wale wanawake 400 aliolala nao tena wenye nyadhifa nao wanatoka mkoa kagera?
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…