Kwa nini kiongozi???Hakika kupata ardhi Kagera Kuna ugumu
Usisema pametulia sema umetulizwa π·Nilitembea sehemu kubwa kagera haswa karagwe muleba na bukoba ila karagwe ndio niliona pametulia sna
Wengi wao wamejenga humu jeifu kama kawa π I'm only jokingIna maana Matajiri wa Bukoba wanajengaga wapi
π pametulia mno mkuuUsisema pametulia sema umetulizwa π·
π€£π€£π€£Wengi wao wamejenga humu jeifu kama kawa π I'm only joking
Katerero nasikia ni kata huko Kagera ni kweli au nimepigwa kamba?Mahusiano
Katerero moja hio km sijakosea mimaji mwamwamwa nasikia ukifika hapo Katerero ni mimaji ya kumwaga au nimeambiwa uongo?Kwanini magodoro ya hotel za BK yamewekewa nylon Mkuu?
π€£Kuna kademu kangu kwao ni karagwe ni kanyambo ,mwaka jana kalimaliza chuo katakuwepo karagwe au kameshaenda dar?
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Nitajibu kila swali leo
- Uchumi
- Wakazi na Makazi
- Historia
- Makabila
- Fursa za Uchumi
- Hali ya hewa
- Mahusiano n.k
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
- Bukoba manispaa
- Karagwe
- Ngara
- Biharamlo
- Muleba
- Kyerwa
- Misenyi
- Bukoba vijijini
Wilaya ya Misenyi uifahamu vuzuri maana inazo fursa kibao ikiwemo mabonde yanayofaa kwa kilimo cha miwa na mpunga, miwa bustani kama matunda na mboga mboga. Pia wilaya hii imepana na ziwa Victoria hivyo kuna fursa ya shughuli za uvuvi na ufugaji wa samaki katika vizimba.Bukoba_ hapa panafaa na biashara ya uvuvi na usafirishaji
Bukoba imepakana na ziwa Victoria
Bukoba hapafai Kwa kilimo wana ardhi m
baya mno, usiwekeze ktk kilimo bukoba
Karagwe na Kyerwa_ hizi ndo wilaya Mungu alizibariki wana ardhi yenye rutuba, vyakula vipo, zao la kahawa, madini,utalii, uvuvi n.k
Ngara, huku tuna border mbili ya Rusumo kuingia Rwanda na Kabanga kuingia Burundi
Kuna ardhi yenye rutuba, tuna mazao hadi hayana wanunuzi
Kuna madini ya nikel
Ngara ina umasikini mkubwa Kwa mtu mmoja
Biharamlo
Sio sehemu nzuri Kwa kilimo, labda ufugaji
Biharamlo ni Moja ya sehemu duni sana
Sikushauri kuishi Biharamlo
Labda uwindaji ambao ni haramu na kurina asali
Misenyi
Sio sehemu nzuri pia ya kuishi
Kilimo cha migoba Kwa kiasi
Kuna njaa
Kuna border ya Mtukula kuingia Uganda ndo fursa pekee iliyopo labda na kilimo cha miwa
Muleba
Hii ni sehemu iliyo barikiwa sana
Shughuli za uvuvi zipo
Kilimo wana ardhi nzuri
Uchumi uku vizuri
Tatizo la muleba ni miundo mbinu hasa barabara Kuna sehemu unaweza kutumia hata 40,000 kufika mjini
Naheshimu mawazo yako mkuuWilaya ya Misenyi uifahamu vuzuri maana inazo fursa kibao ikiwemo mabonde yanayofaa kwa kilimo cha miwa na mpunga, miwa bustani kama matunda na mboga mboga. Pia wilaya hii imepana na ziwa Victoria hivyo kuna fursa ya shughuli za uvuvi na ufugaji wa samaki katika vizimba.
Pia wilaya hii inapakana na nchi ya Uganda kupitia mipaka ya Mutukula na Kanyigo ambapo fursa za kufanya biashara zitapatikana. Pia kuna mashamba ya kilimo cha miti ya mbao na nguzo na hata madini ya chokaa nk.
Tatizo kubwa la jamii ya wilaya ya Misenyi na hata wilaya nyingine za mkoa wa Kagera ni kutokupenda mabadiliko. Wenyeji wa kule wanahitaji sana kuelimishwa juu ya matumizi ya fursa zilizopo na manufaa yatokanayo na fursa hizo ili waachane na kuishi kwa mazoea.
Hapo pia mnadanganyana. Kasome vizuri historia then utagundua ni wapi palikuwa na bado pameendelea kutoa wasomi wengi wabobevu. Wilaya ya Misenyi na Wilaya ya Bukoba ndio zinaongoza zikifuatiwa na Karagwe na wilaya Nyinginezo.100%β
Nasikia hapo Katerero ni maji mengi sana kuna bwawa la kuzalisha umeme au watu wanatupiga kamba?Katerero ni soko/gulio maarufu
Amjajalo katerero π
Wasomi wengi wanaoishi Ulaya na Marekani?Hapo pia mnadanganyana. Kasome vizuri historia then utagundua ni wapi palikuwa na bado pameendelea kutoa wasomi wengi wabobevu. Wilaya ya Misenyi na Wilaya ya Bukoba ndio zinaongoza zikifuatiwa na Karagwe na wilaya Nyinginezo.