Ruhinda jr
Member
- Sep 13, 2024
- 87
- 117
Hakuna anayewalazimsha muwe wahaya ila dunia na nchi nzima inajua bukoba kuna kabila moja tu wahaya. Japo ni kweli msubi na muhangaza hawa wanawakosea sabab hata ongea yao hatuwezi kuelewana ila wanyambo wanakuwaga wabishi bure sababu tafauti yao ni matamshi tu muhaya atasema Kya ila mnyambo atasema Cha mfn muhaya enasema ekyawe. Mnyambo atasema echawe.Sio kweli
Mhaya ni mziba, muyoza na watu wa bugabo
Wahamba na wanyaiyangiro ni makabila makubwa wana lugha na tamaduni zao wala sio wahaya
Wanyambo wa Karagwe ni kabila kubwa wala sio wahaya
Wasubi wa Biharamlo sio wahaya
Watu wa Misenyi sio wahaya
Hivi kwanini wahaya wa Bukoba Huwa mnalazimisha sisi watu wa Kagera wote tuwe wahaya na hatuhitaji
Kabila la wahaya ni dogo hapa kwetu Kagera