Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na SA,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na sa,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
Nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na SA,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
Mkuu MUKAMASIMBA naona umechanganyikiwa kwa kipigo! Angola ni NEUTRAL force? Hukumbuki walikuja kupamabana kuzuia uasi wa pili dhidi ya Kabila pamoja na Zimbabwe! Dhidi ya Watusi ( Banyamulenge) hawahawa?
Sijakuelew kaka, ina maana jwtz ndilo lenye ajenda ya elimination ya watusi?
ahahahhaa,mjomba MTAZAMO mimi nakubaliana na ufafanuzi wa Flash hider kwa kweli amejaribu kuelimisha watu hapa jamvini,na maoni yangu sio kua against him bali ni mwendelezo wa kuelimishana kwani katika ufafanuzi wake hakugusia chanzo na mtazamo wa SADC kuhusu watusi na serikali ya kigali.Mkuu umefanya kazi nzuri sana unastahili heshima ya pekee kwa ufafanuzi wa kizalendo.Maelezo yako yamesaidia kuondoa hofu kidogo baada ya kifo cha Commando wetu juzi.
Huyu MUKAMASIMBA tuachie sisi,kazi yake ni propaganda anataka kukutoa kwenye mjadala wako.
Lazma tukamtoe mbolea..
We bwana hata JWTZ ni neutral, sasa ukiwa neutral ukirushiwa risasi na ukarudisha risasi inakuwaje.Nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na SA,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
Mkuu MUKAMASIMBA naona umechanganyikiwa kwa kipigo! Angola ni NEUTRAL force? Hukumbuki walikuja kupamabana kuzuia uasi wa pili dhidi ya Kabila pamoja na Zimbabwe! Dhidi ya Watusi ( Banyamulenge) hawahawa?
Watakua neutral wapi bwana hata kabla hawajaenda congo walitangaza kwamba wanaenda kuimaliza M23.We bwana hata JWTZ ni neutral, sasa ukiwa neutral ukirushiwa risasi na ukarudisha risasi inakuwaje.
Msilete za kuleta za u-UN na jeshi la Bangladeshi na Pakistan ambao wapo u-neutral wa muongo na zaidi Kongo na huku wakiuza silaha kwa magaidi watusi huko Kongo.
Ni kweli M23 wamegundua njia nyingine ya kupigana , na ni kula milo(kukimbia)!!!!Inaonekana watu wengi hawataki kutatua tatizo la congo kwa uhakika,congo namlinganisha na mgonjwa wakati wote hawata deal na source of sickness na kutibu ugonjwa tu,mgonjwa ataendelea kua mgonjwa daima,sasa kufukuza M23 congo au watusi sio dawa wakae watatue tatizo lao,kwani unamfukuza aende wapi?na fikira za kuondoa pk na m7 nazo hazina maana ,mukumbuke stability ya hili eneo imeshikiliwa na hawa watu pindi wakiondoka hili eneo litakua kama somalia,na watanzania mtakua affected directly not indirectly kama ilivyo sasa,hivi M23 wamebadili tactic sasa wameachana na defensive wanakua offensive sasa mtegemee askari wengi wa FRDC na wanao wasaidia kuumia sana.
Kaka sitaki kuonekana kama nawaandama watusi, lakini Watusi wa kwanza hapa DRC wanatajwa kuingia miaka ya 60 walivyokimbia baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya rais Kayibanda (Mhutu). Wengine (akina Kagame) walikimbila Uganda na wengine TZ (WALIPEWA URAIA KULE TBR).Walipokuja huku GOMA walikuwa wanaitwa Wanyamulenge na walipokelewa na waliishi vizuri tu. Wakiwa huku walianza kujijenga kijeshi ili waweze kuipindua serikali ya Rwanda. Mwaka 1994 baada ya Wahutu kukimbilia huku (FDLR) na kukutana na Wanyamulenge, hapo ndipo vita ikaanza. Kwanza Watusi walianza kulengwa na baadaaye Wahutu wakaanza kulengwa. Ni historia ndefu yenye machungu mengi sana. Hivyo tatizo la watusi si la jana.
Nikikutazama unamatatizo makuu mawili ni mtu mwenye roho mbaya na tena unawivu hupendi kuona mtu mwingine akiendelea,unamchukia pk anaishi kwa mali zako?Hii mada imenifumbua macho sana kuhusiana na yanayoendelea Congo. Ila ninachokitamani ni kwamba waasi wa M23 wakikimbilia Rwanda ishinikizwe na Kuwafukuza au majeshi ya UN yawafuate kwa nia ya kuwakamata ili Rwanda i-react then ipatikane sababu ya kuichapa, Namchukia sana Kagame yupo Tayari Damu ya wakongo imwagike ili uchumi wa Rwanda ukue..
Nafikiri hujajua sababu m23 walihama maeneo yao,katika mapambano yaliyo tokea kibumba walikufa askari wengi wa FRDC pamoja na wasindikizaji wao na kwa sababu hiyo jamaa walikuja na hasira nyingi sana,m23 ikabidi iwapishe lakini unajua inavyo uma kupigwa ukiwa na nguvu halafu unakuja na hasira unamkosa imagine,sasa ndio kubadili mtindo wa mapigano hivi wameamua kua offensive watakua wakishambulia badala ya kungojea kushambuliwa kwani hawa UN wanasilaha kali nafikiri huyo HIDER kama yuko GOMA anaweza kukupa sura ya mapigano kwa kuangalia majeruhi na maiti,vita ni kali sana sio mchezo na watu wanakufa sana.Ni kweli M23 wamegundua njia nyingine ya kupigana , na ni kula milo(kukimbia)!!!!
Pengine mkuu huna habari ya kisago wanachokipata hao ndugu zako huko Goma.
Na pengine unajitetea tu lakini mwisho wa yote ni kuondoka kwa PK, aliingia kwa upanga atatoka kwa upanga.
Na ataondolewa na WANYARWANDA WENYEWE!!
Flash hider sina tatizo lolote na unayo ongea bali kuna jamaa anaitwa ALEYN anaitikadi ya mauaji ya kimbali ndiye nilikua najaribu kumjibu kwani kwa mawazo yake nikwamba amani itapatikana mtusi akiondolewa katika hili eneo.
mtusi kashaingia mitini, alifikiri tutamuuliza tutaondoa JWTZ DRC!