Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Majibu ya Aleyn nakubaliana nayo ingawa lugha aliyotumia siyo nzuri saana (jazba). Sidhani kama kweli FDLR inasaidiwa na UN. Unajua hapa DRC UN wanajeshi wengi. Wangekuwa kweli kwa dhati wanaisaidia FDLR basi jumuiya kimataifa ingejua na ingekuwa wazi kabisa na huenda hiyo Rwanda isingekuwa kama hivi ilivyo. UN haijawahi kuwa biased kiivyo. Tuwe wakweli.

 

Sasa mzee kwa hii ndio umenionyesha rangi kamili kweli uzalendo wakati mwingine mtu anajifanya kipofu,kuhusu mazungumuzo congo ilikua imekataa katakata na ndio M23 wakaingia goma ili kushinikiza congo kuongea nao nahilo liliwezekana baada ya kuikamata goma,kuhusu uporaji na mauaji hayo yaifanywa na wafungwa walio toroka gereza la goma na walifunguliwa na askari wa congo hao ndio walifanya mauaji,kingine kuhusu silaha izo ilikua lazima kuzichukua kwani ilikua bahati kwao kupata silaha za bure,nahii ndio imefanya m23 kuhama miji waliyo kua wakishikiria kwani FRDC na wapambe wao vita yao ni shelling hawajali civilians na hiki pia kilichangia kuhama miji hiyo,kunawakati watu wanataka kugeuza watu wanyama wakati sivyo ili waweze kuonekana wabaya na kitendo chochote kibaya dhidi yao kiwe halali na shukuru umesema hukua goma kwamba ulikua bongo wakati wa uvamizi wa goma.
 

tupo pamoja, lakini kuna haja ya kukisaidia chama hiki cha ukombozi cha Rwanda
 
Tatizo lako wewe ni mbaguzi na hauta geuza chochote wakati wote ukifikiria kwamba ku eliminate watutsi ndio itakua dawa ya DRC,hata wahutu walifikiria hivyo lakini hawakufika popote,aliye simikwa na mwenyezi mungu huwezi kumu eliminate.
hakuna binadamu yoyote mwenye kufikiria kuwa eliminate watusi, bali tu eliminate alshabab wa kitusi ni ile ideology ya kujiona bora kuliko wengine na kutaka kupora mali za wengine, na ?kupata zaidi kuliko wengine. Mbona Dada zako wanaishi vizuri tu na watu wengine? au ndio sera ya simba akikosa nyama hula majani? mbona sisi tuna wapare, wapalestina, wa kibosho, wandengereko nk lakini tunaishi pamoja tu, sasa iweje alshabab wa kitusi ashindwe kuishi na wengine?
 
Wewe ndio mwanamke anaye washwa kwanza hili swali sikulielekeza kwako,kingine nimesema TZ,SA,UN na FRDC wanashirikiana kuipiga m23 sio rwanda,pole sana wewe tatizo lako hii vita unafikiri inaelekezwa rwanda au unafikiri m23 ni rwanda.
 

Duh.,.......kweli wewe ni business man...mfanyabiashara huyu anajua mambo...lol......
 
Sasa kwa taarifa yako FDLR wamo ndani ya FRDC na juzi juzi kunajamaa wa FDLR alikamatwa na majasusi wa rwanda kigoma akiwa ametoka kuonana na viongozi wa kijeshi wa tz,UN ndio ilikua ikiuzia silaha FDLR mpaka sasa kwa kubadilishana na zahabu,Kumbuka france ndio wali create FDLR ili kuishambulia rwanda na France kwa sasa ndiye anayeongoza hiyo department ya usalama ya UN,na agenda yao nikuwatumia kupambana na m23 ambayo inaonekana geti ya kuingia rwanda,na baada ya kuiondoa m23 ndio watawasaidia kuingia rwanda hilo linajulikana sio siri,na haiwezekani UN kuingia rwanda kiwazi wazi bali ni kwanjia hizo za uani.
 
Flash Hider BBC leo wamesema M23 imekwisha kbsa na kama tunavyosikia Rwanda ina battalion mbili mpakani je tetesi zilizopo huko kuhusu Rwanda kuingia vitani ni zipi ukizingatia wamelalamika kushambuliwa na Congo.. Kuna chochote umesikia kuhusu majeshi ya Rwanda kupambana na FIB..???
 
Kwenye hii thread nimejifunza mambo mengi sana ambayo sikuyajua kabla.
Ahsante sana bwana FLASH HIDER wewe ni mfano wa kuigwa.
Ingependeza sana kama viongozi wetu wangekuwa wanajibu hoja au maswali ya papo kwa papo kupitia social network kama hivi.

Kuna mbunge wetu Mary Mwanjelwa kaanzisha thread inayohitaji ufafanuzi wake hapa juzi na matokeo yake akapotea moja kwa moja mpaka leo.
 
Last edited by a moderator:
Unajua unachokisema?kusaidia FDLR ni kusaidia wauaji wa kimbali,which means you are a supporter of genociders.

Matatizo ya Congo hayataweza kuisha kwa kutumia bunduki...kuna haja na ulazima wa serikali zinazohusika kukaa katika meza ya mazungumzo....Rwanda wazungumze na hao FDLR ....kitendo cha kutotaka kuongea nao kinasababisha security threat hata Rwanda na DRC.....Kabila amejitahidi kuongea na wapinzani wake M23...Why PK hataki kuongea na FDLR???
 

Kwa nini UN Wanataka kuingia Rwanda? kuna kitu gani ambacho UN Wanakifuata Rwanda?
 
UN inataka kuingia rwanda? Naomba ufafanuzi tafadhali.
 
mzee kabila hakua anataka majadiliano kabisa ila kwa sababu ya mtutu ndio alikubali kwenda kampala,na hii leo wanasema hakuna haja ya kuongea na m23 wakijidanganya eti imekwisha,hebu imagine askari wote wa m23 wapo na silaha zao zote wanazo na wako ndani ya congo eti wameshinda?kuhusu kuongea na FDLR hilo haliwezekani kwani wao wanashutumiwa kwa mauaji ya kimbali wanatakiwa kufikishwa mahakamani sio kukaa nao hawa nitofauti na m23 hawa niwatu walipigania nchi ya congo na wanadai haki yao kama walivyo sikilizana na kabila hapo mbeleni,kinacho takiwa tz ikishirikiana na UN wawa kamate hao FDLR na kuwapeleka mahakamani badala ya kuilaumu rwanda.
 
UN inataka kuingia rwanda? Naomba ufafanuzi tafadhali.

Habari ndiyo hiyo majeshi ya UN yaliopo congo yanatumiwa na FRANCE ili kukamiisha agenda yake ya ku destabilize rwanda,na ndio maana wakati wote hao FDLR hawa wezi kuguswa na UN tena wako hapo kivu na wanajua maeneo yao lakini wanatumiwa na UN na mwisho wake ni kuvamia rwanda ndio mpango wa france wengine wanatumiwa tu.
 
Mkuu naomba kuuliza, ina maana DRC madini yapo east tu au nchi nzima, maana vurugu zimetawala east tu.
 
Believe me or not.......................Solution ya matatizo yooooooooooooooooote hapa ni ASSASSINATION OF KAGAME!!!!
Matatizo ya ukanda huu wa the great lakes yatakuwa kwishney!
Ni vibaya kumwombea mwanadamu mwenzangu kifo, lakini ndio itakuwa suluhisho la kudumu.
 
Kwa nini UN Wanataka kuingia Rwanda? kuna kitu gani ambacho UN Wanakifuata Rwanda?

Hawa wazungu ni watu wa ajabu sana kawaida wanaitumia UN kukamilisha agenda zao,kwa sasa hii monusco iko under france nikusema mamboyote yameachiwa france na france anachotaka ni kuleta matatizo rwanda,M23 nikikwazo kwao nilazima waiondoe njiani ili wafikie lengo lao,na tz,sa wanalijua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…