FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #261
Majibu ya Aleyn nakubaliana nayo ingawa lugha aliyotumia siyo nzuri saana (jazba). Sidhani kama kweli FDLR inasaidiwa na UN. Unajua hapa DRC UN wanajeshi wengi. Wangekuwa kweli kwa dhati wanaisaidia FDLR basi jumuiya kimataifa ingejua na ingekuwa wazi kabisa na huenda hiyo Rwanda isingekuwa kama hivi ilivyo. UN haijawahi kuwa biased kiivyo. Tuwe wakweli.
Mi huwa nakwambiaga ndugu yangu, Mwanaume huwa anakubaligi uhalisia kutokana na ukweli ulokuwepo. Sasa wewe ndugu yangu huna sifa za kuwa mwanaume na kama we ni mwanamke basi utakuwa mwanamke mwenye kuwashwa sana na hutulii kwa Bwana wako. Hivi kama UN unaowasema kuwa wanawasaidia FDLR unadhani mpaka sasa wasingekuwa wamefika kigali? Unaongea pumba mpaka unakera yaani.