Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Wewe ndio mwanamke anaye washwa kwanza hili swali sikulielekeza kwako,kingine nimesema TZ,SA,UN na FRDC wanashirikiana kuipiga m23 sio rwanda,pole sana wewe tatizo lako hii vita unafikiri inaelekezwa rwanda au unafikiri m23 ni rwanda.

acha kuwa kigeugeu we si umesema UN inashirikiana na FDRL? Unaposema M23 basi unazungumzia Rwanda.
 
Watendaji wa Serikali yetu wangekuwa responsive kama FLASH HIDER, nadhani uzalendo wa watanzania ungekuwa juu sana, unajibu kwa uhakika, kwa wakati, na bila hiyana wala kibri. Aisey! Mlio Serikalini mnashindwa nini kuwa kama huyu jamaa. Badilikeni, msomeni sana FLASH HIDER
 
Last edited by a moderator:
Assassination ndio itakua mwisho wa amani katika maziwa makuu,kivipi?kwanza interahamwe zitashika madaraka na mapigano ya kikabila kuanza,nchi jirani zitataka kusaidia interahamwe dhidi ya watusi na ndio watusi watasambaa katika eneo hili wakishambuliwa na wao kutaka kujilinda ndio utakua mwisho wa amani in grate lakes regional.
 

UN Ingepiga Bomu pale Kigali ili kusiwe na takataka yoyote ile, hata mbu wala nzi au sisimizi wasionekane. Hapo Amani itakuwepo DRC, Watutsi ndo mzigo mzito.
 
Ila Credibility ya Tanzania itapanda sana kama itafanikisha kuwasambaratisha hawa M23. Itabaki kuwa "The untouchable giant" katika Afrika Mashariki na kati. Mungu saidia Jeshi hili la wazalendo kuondoa upuuzi ili kuwafanya Wacongo wafurahie kuwapo kwao duniani.
 
mkuu kupitia post zako naona una sympathize na m23. France inanufaikaje na instability ya Rwanda?
 


Unajidanganya, mwenzio amini enzi zile alikuwa na maneno kama hayo yako, halafu kumbuka aliyemtoa Amini ni JK, na huyu pia JK utaunganisha dot mwenyewe. Tunakwambia serious, kwamba hatuna ubaya na mtu lakini hatutamuacha nayevunja amani Greak Lakes
 

Alete matatizo Rwanda ili apate nini? na unajua wazungu hua wako after interest...kuna interest gani Rwanda ambayo mfaransa anafukuzia?
 
am proud of the work JWTZ is doing in Congo,,i will always support and pray for my boys,,,go go go go go!!!!
 

Hizo propaganda zenu tumeshazizoea. FDLR sio tatizo hapo na hawajawahi kuwa tatizo ndani ya DRC, wao wako uhamishoni kama ambavyo RPA/RPF was in Uganda miaka ya 90. And why would FRANCE want to destabilize Rwanda? what for?
 
Sio kipigo pekee tu kwa M23, hata Kigali kwa mzee hali sio shwari huko, Jamaa anachimba mahandaki tu huku anaharisha tu. Unacheza na Jei-wii?

Lakini watu wengine mnapenda kuandika ilimuradi umeandika,ungejua yanayo tendeka goma usinge kua unaongea hayo,watu warwanda wanapiga mzigo kama kawaida kama vile hakuna vita kwa jirani yani hata Gisenyi mji ambao uko mpakani watu wanavuka mpaka kilasiku wakienda goma na wagoma wakiingia gisenyi yani maisha niya kawaida.
 
mkuu kupitia post zako naona una sympathize na m23. France inanufaikaje na instability ya Rwanda?

Huyu ni propaganda machine ya Rwanda kwenye mitandao asikupasue kichwa mkuu.
 
Hapo kaka kuna mchezo wa ajabu kidogo. Kama utakumbuka kuna akina Nkunda na wale wafuasi wa Ntaganda ambao walimbilia Rwanda na Nkunda yupo kizuizini, Ntaganda yupo ICC na wafuasi wake waliokimbia Rwanda wapo nchini humo kwa mwevuli wa Ukimbizi. Swali je ni kwanini wasirudishwe na wakati wao ni raia wa DRC na walifanya makosa huku RDC? Kinachotajwa hapa (sina uhakika) ni kuwa, Rwanda ina sheria ya kutowarejesha watu nchini mwao kwenye nchi ambazo bado zinatoa adhabu ya kifo, DRC ni moja wapo. Nina wasiwasi kuwa hata hawa jamaa watafanya mchezo huu wa kuigiza.

.
 

Basi kama Kabila amelazimishwa kuongea na M23 Kwa mtutu wa Bunduki...basi inabidi kagame pia alzimishwe kwa mtutu wa Bunduki...no way.....Kwa sababu hao FDLR ni watu wa Rwanda...mnataka waende wapi? wakawe mizigo kwenye nchi ya nani? hao ni watu wa kwenu...Ongeeni nao...wale wanaohusika na mauaji ya 1994 Wapelekwe mahakamani.....lakini hayo yote yanaweza kukubaliwa unapofungua njia ya majadiliano....Hujui kuwa FDLR pia wanapigania nchi yao Rwanda kama ilivyo kwa M23? Inatakiwa ifike wakati ukweli unaouma usemwe.....Suluhisho la kudumu la amani ya maziwa makuu ni meza ya mazungumzo....PK akae na wahutu FDLR wakutanishwe hata kule Zimbabwe...waongee......kwa sababu population ya wahutu waliokimbilia Congo ni kubwa...wengine wamezaliwa huko...wengine walikimbia vita....Hao wana haki na nchi yao ya Rwanda...why waonekane unwanted? Genocide ilikua ni matokeo ya disatisfaction za muda mrefu,Pande zote mbili...watusi na wahutu zina contribution yake kuelekea kwenye hio Genocide...Watusi na wahutu wengi walikufa kwenye hiyo vita..............PK inabidi akubali majadiliano...OTherwise mtutu utatumika kumleta kwenye meza ya mazungumzo kama ilivyokuwa kwa kabila......Kumbuka hata Leo USA wanaongea na Taliban ambao wali wa brand kama kikundi cha kigaidi...Who are you Rwandan Tutsis u dont want to talk?
 
Hizo propaganda zenu tumeshazizoea. FDLR sio tatizo hapo na hawajawahi kuwa tatizo ndani ya DRC, wao wako uhamishoni kama ambavyo RPA/RPF was in Uganda miaka ya 90. And why would FRANCE want to destabilize Rwanda? what for?

Kutokana na maelezo yako hata mtu akikueleza hutaelewa kwani umeisha jipanga katika mtazamo fulani dhidi ya rwanda,hebu nikupe kidogo France ndio waliandaa genocide ya watutsi wakishirikiana na serikali ya habyarimana eti wakilinda kifaransa dhidi ya watusi wanao ongea kiingereza waliotokea uganda,hivi rwanda inataka kuwashitaki na france haitaki kuona ina aibishwa na kainchi kadogo ka afrika,rwanda ilikua imeanza kua na influence ndani ya congo kiasi kwamba ilikua ikiingia na kuwinda FDLR vibaraka wa wafaransa,sasa ndio france inatumia mwanya wa UN kufikia malengo yake.
 
Sijajua uhusiano wa Rwanda na France kwa sasa ingawa huko nyuma walishamwagana. Bila shaka na wao wwamekata misaada kwa Rwanda.
 

Kwani FDLR wanapigania haki gani? kama nikusamehewa waombe msamaha,na kama ni mtutu huo walishindwa tangu zamani na kama kuna anayetaka kuja kwa mtutu anakaribishwa na atapatiwa jibu sahihi kwani wanalijua hilo.
 
Nilitahadharisha mwanzoni mjadala huu usitawaliwe na jazba. Mimi sioni sababu ya France kutaka kuiangamiza Rwanda. Kwa hiyo M23 ni Rwanda? Kama ni kweli basi kuna tatizo. Haiwezekani ukawa unaki-support kikundi chenye silaha kwenye nchi ya mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…