Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

weka bayana kidogo
 

Mbona povu linakutoka bure unafikia hata kuniambia vita ya kwanza ya dunia? pole sana mambo yamabadilika sikuhizi si biafra we jaribu hata kiduchu radi ikuwakie.
 
|| #KAMPALA : PEACE AGREEMENT BETWEEN THE GOVERNMENT AND THE M23 IN THE PROCESS OF SIGNING DEMAIN||The news circulating here in Kampala saying about an imminent signing of peace. In any case, here in the Hotel Speke Munyonyo things are not good. Kinshasa no longer wants to repatriate the refugees. Sending a helicopter to Bunagana by Crispus Kiyonga to carry the M23 Rais raises many concerns by these mercies of Hyena mutton. High treason has perhaps had great a place. Treason in mediation. Treason even in the M23. [AND THE INFO DEVIATE REGIONAL] (Translated by Bing)
 
Mbona povu linakutoka bure unafikia hata kuniambia vita ya kwanza ya dunia? pole sana mambo yamabadilika sikuhizi si biafra we jaribu hata kiduchu radi ikuwakie.

tumewakimbiza kongo tayari na bado endelezeni chokochoko, marekani na mataifa mengine katika baraza la usalama la UN ilitokaana na medani katiaka ww2. acha ushamba historia inakufunza ulikotoka, uliko na unakotaka kuelekea. Historia yenu kijeshi ni kuchinjana na mapanga na visu ingine ni ya kuwa na jeshi lisilo na nidhamu na la kiporaji
 

ahahahahahhaha acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 

ahahahahahhaha acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 

Mzee unaota vibaya,kagame haendi popote,lakini nikuulize kama kuna wapiganaji/wapinzani wa tanzania walioua watu tanzania wakaenda rwanda ikawahifadhi na kuwapa silaha za kushambulia tanzania wewe utafanyaje?
 
Wanamgambo wa Intarahamwe ni adui za Kagame ni wakimbizi wa vita kama wakimbizi wengine, sheria gani inasema wawindwe na kuuliwa tena katika ardhi ya Congo, tunazuia genecide (1994) ili kufanya genocide nyingine dhidi ya Wahutu wa FDRL.

Hawa ni wakimbizi special wauwaji/waliofanya genocide lakini rwanda imefungua milango warudi kwao lakini wakija kwa mtutu lazima wafyekwe.
 
naomba mungu sana waikaribie kongo kwa kisingizio chochote kile nafikiri rwanda, uganda na washirika wao itakuwa ni historia, naamini hawana ubavu wanayajua madhaifu yao mengi katika medani za vita! karibuni

Lakini wewe unaongea kama tanzania au UN?
 

HIDER watusi utawapata wapi goma? hakuna mtusi goma wote wamekimbia wako rwanda hao ni interahamwe uko nazo nilikua nashangaa eti watusi rafiki zako kumbe ni hizo nterahamwe zinazo changia wenzao pesa?
 
MUKAMASIMBA,

..nadhani madai ya m23 kupewa blanket amnesty ndiyo yamekwamisha mazungumzo ya amani Kampala.

..m23 wamepewa fursa ya kuwa chama cha siasa kwa msingi huo hawana sababu yoyote ile ya kuendelea na vita.

..vilevile jinsi wanavyopigana na UN ndivyo wanavyojiweka ktk nafasi ngumu zaidi ya kukubalika ktk jumuiya ya kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
umechukua uamuzi wa busara na wa kishujaa kutujuza yanayoendelea huko DRC....Mungu ibariki Afrika..Mungu ibariki Tanzania ...ahsante sana.
 
Hapo joka kuu umesema kama msomi,nakubaliana na wewe 100% lakini kuna watu wamekuja kwa agenda zao zingine wakijifunika mwamvuli wa UN,ambo hawataki M23 kabisaaa,tena M23 kwao ni kajisababu tu,lakini nia yao ni kuishambulia rwanda,sasa M23 kuingia porini imeharibu plan yao.
 
Mkuu sijakuambia MONUSCO wanachimba madini.

Kuna habari kila siku tunasoma kuwa MONUSCO kazi yao ni kupora madini na kuuza ughaibuni na wala siyo kuwalinda raia Congo.

Inawezekana unachosema. Unajua hawa MONUSCO wana vikosi vijijini kabisa ambako kumejificha na huwa wanafanya patrol maeneo mbalimbali ambayo si rahisi kufikika. Hilo linawezekana kabisa. Bila shaka madini hayo huenda nayo wenyewe makwao, maana hapa GOMA hatujawahi kupata NYOKA (muuzaji madini mdogo wa rejareja) mwanajeshi wa MONUSCO.
 
Hawa watusi wanapokea msaada kutoka Rwanda na Uganda, eti sasa mazungumzo ya kuleta amani hufanyika Kampala chini ya usimamizi wa Kaguta Museveni! Ni kichekesho.

Hapo ndio tashangaa shilingi kuzama na meli kuelea baharini.
 

Hapo mkuu inabidi tusubiri kampala ndio tutajua kitakacho fuatia,lakini naona international community haitaki hawajamaa kutawanyikia maporini na kuanza izo attack zao za kuvizia kwani inaweza kU cost maisha ya majeshi mengi ya UN na inaweza kua vita ya muda mrefu.
 
Mkuu sijakuambia MONUSCO wanachimba madini.

Kuna habari kila siku tunasoma kuwa MONUSCO kazi yao ni kupora madini na kuuza ughaibuni na wala siyo kuwalinda raia Congo.

njoo na concrete facts mkuu. hayo mambo ya 'kuna habari', 'tunasoma' yanakupunguzia kiwango cha u Great Thinker
 
Aljazira wanadai zaidi ya wakimbizi 800,000 wamekimbilia ugandaje namba hii ni sahihi ya watu waliokimbia makazi yao?(yaani mtaani hapana watu kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…