Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Pole ndugu, usicho kijua ni usiku wa kiza,
wabongo wapo huko sikunyingi na wana bunya kama kawa,
na hata RIZ1 unaweza kashafika huko, unafikiari makamu wa Raisi kw anini alikufa Ghafla alipokuja Kabila wakti ule?

Unajua kuwa kuna makataba wa SHELI kuchimba Mafuta Ziwa tanganyika?
sasa watachimba vipi kama hakuna amani Congo.
weka bayana kidogo
 
tuna historia nzuri iliyotukuka kijeshi ambayo haijafikiwa na taifa lolote la kiafrika ! Tuliivamia Uganda na kumtimua kama mbwa mwizi rais wa nchi hiyo, tulikomesha uasi wa karibia miaka 2 wa kanali alieasi huko comoro, kamwulize mreno ni nchi gani yenye jeshi imara africa atakuambia vijana wa mwalimu kwa kwata tulilompigisha hapo Angola na Msumbiji, nenda kawaulize NIGERIA kwata tulilo wapigisha wakati wa vita ya Biafra kwa muda wa miaka minne, kamuulize taratibu mumeo kagame na museveni moto wanaoupata hapo DRC kupitia millitary wing yao ya m 23. Kiujumla kijeshi rwanda na uganda ni wachumba tu! mwanaume yeyote rijali ni lazima awe na msimamo. Time will tell

Mbona povu linakutoka bure unafikia hata kuniambia vita ya kwanza ya dunia? pole sana mambo yamabadilika sikuhizi si biafra we jaribu hata kiduchu radi ikuwakie.
 
|| #KAMPALA : PEACE AGREEMENT BETWEEN THE GOVERNMENT AND THE M23 IN THE PROCESS OF SIGNING DEMAIN||The news circulating here in Kampala saying about an imminent signing of peace. In any case, here in the Hotel Speke Munyonyo things are not good. Kinshasa no longer wants to repatriate the refugees. Sending a helicopter to Bunagana by Crispus Kiyonga to carry the M23 Rais raises many concerns by these mercies of Hyena mutton. High treason has perhaps had great a place. Treason in mediation. Treason even in the M23. [AND THE INFO DEVIATE REGIONAL] (Translated by Bing)
 
Mbona povu linakutoka bure unafikia hata kuniambia vita ya kwanza ya dunia? pole sana mambo yamabadilika sikuhizi si biafra we jaribu hata kiduchu radi ikuwakie.

tumewakimbiza kongo tayari na bado endelezeni chokochoko, marekani na mataifa mengine katika baraza la usalama la UN ilitokaana na medani katiaka ww2. acha ushamba historia inakufunza ulikotoka, uliko na unakotaka kuelekea. Historia yenu kijeshi ni kuchinjana na mapanga na visu ingine ni ya kuwa na jeshi lisilo na nidhamu na la kiporaji
 
Pole ndugu, usicho kijua ni usiku wa kiza,
wabongo wapo huko sikunyingi na wana bunya kama kawa,
na hata RIZ1 unaweza kashafika huko, unafikiari makamu wa Raisi kw anini alikufa Ghafla alipokuja Kabila wakti ule?

Unajua kuwa kuna makataba wa SHELI kuchimba Mafuta Ziwa tanganyika?
sasa watachimba vipi kama hakuna amani Congo.

ahahahahahhaha acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Pole ndugu, usicho kijua ni usiku wa kiza,
wabongo wapo huko sikunyingi na wana bunya kama kawa,
na hata RIZ1 unaweza kashafika huko, unafikiari makamu wa Raisi kw anini alikufa Ghafla alipokuja Kabila wakti ule?

Unajua kuwa kuna makataba wa SHELI kuchimba Mafuta Ziwa tanganyika?
sasa watachimba vipi kama hakuna amani Congo.

ahahahahahhaha acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Hivi hawa jamaa wa Kigali na Kampala wanadhani dunia kama chumba chao vile, kwamba wakiamua kufanya mambo yao chumbani then no one will know whether pay attention!Eti wakiingiza vikosi vyao, vita vitafika mpaka Kinshasa, wameshasahau kwamba hata Marekani imeondoa misaada ya kijeshi kwa Rwanda kutokana na issue ya M23. By the way, kwanini mtu awe na hasira na aje na mawazo ya namna hii kwa kufurushwa kwa M23 kwenye nchi ambayo si yao kama hana interests zake huko? Nyie watu, mnatumiaje vifo vya watu kujinufaisha nyie? Sio lazima muwe na Dhahabu, Almasi, Rwandanite, au whatever form of resources ili kuendelea. Ziko Nchi kibao zimeendelea huku zikiwa hazina resources za kutosha so better kuheshimu maisha ya watu waishi kwa amani katika nchi zao. Ni wazi sasa muwisho wa PK umefika, nasema umefika tena umekaribia sana. Watch out

Mzee unaota vibaya,kagame haendi popote,lakini nikuulize kama kuna wapiganaji/wapinzani wa tanzania walioua watu tanzania wakaenda rwanda ikawahifadhi na kuwapa silaha za kushambulia tanzania wewe utafanyaje?
 
Wanamgambo wa Intarahamwe ni adui za Kagame ni wakimbizi wa vita kama wakimbizi wengine, sheria gani inasema wawindwe na kuuliwa tena katika ardhi ya Congo, tunazuia genecide (1994) ili kufanya genocide nyingine dhidi ya Wahutu wa FDRL.

Hawa ni wakimbizi special wauwaji/waliofanya genocide lakini rwanda imefungua milango warudi kwao lakini wakija kwa mtutu lazima wafyekwe.
 
naomba mungu sana waikaribie kongo kwa kisingizio chochote kile nafikiri rwanda, uganda na washirika wao itakuwa ni historia, naamini hawana ubavu wanayajua madhaifu yao mengi katika medani za vita! karibuni

Lakini wewe unaongea kama tanzania au UN?
 
Hapana sijapotea wala sitegemei kupotea, ukweli ninasimamia yale ninayoyaamini ni ya ukweli kwa HOJA. Hapa usinielewe vibaya, hoja ya MUKAMASIMBA ni kuwa M23 walikuwa wanawalinda Watusi hapa DRC (GOMA). Nikamweleza kuwa hata hao watusi waliporwa na kunyanyaswa na M23 mwaka jana. Tena hawataki kusikia kitu kinachoitwa M23 hapa GOMA. Juzi wamechanga karibu dola 16,000 kusaidia jeshi kupambana na M23. Wangechanga vipi kusaidia kuuawa kwa walinzi wao? Ndiyo maana nimeweka angalizo kuwa tuone sasa nani atawalinda hao Watusi wa GOMA baada ya M23?. Sijabadirika kaka.

HIDER watusi utawapata wapi goma? hakuna mtusi goma wote wamekimbia wako rwanda hao ni interahamwe uko nazo nilikua nashangaa eti watusi rafiki zako kumbe ni hizo nterahamwe zinazo changia wenzao pesa?
 
MUKAMASIMBA,

..nadhani madai ya m23 kupewa blanket amnesty ndiyo yamekwamisha mazungumzo ya amani Kampala.

..m23 wamepewa fursa ya kuwa chama cha siasa kwa msingi huo hawana sababu yoyote ile ya kuendelea na vita.

..vilevile jinsi wanavyopigana na UN ndivyo wanavyojiweka ktk nafasi ngumu zaidi ya kukubalika ktk jumuiya ya kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
umechukua uamuzi wa busara na wa kishujaa kutujuza yanayoendelea huko DRC....Mungu ibariki Afrika..Mungu ibariki Tanzania ...ahsante sana.
 
MUKAMASIMBA,

..nadhani madai ya m23 kupewa blanket amnesty ndiyo yamekwamisha mazungumzo ya amani Kampala.

..m23 wamepewa fursa ya kuwa chama cha siasa kwa msingi huo hawana sababu yoyote ile ya kuendelea na vita.

..vilevile jinsi wanavyopigana na UN ndivyo wanavyojiweka ktk nafasi ngumu zaidi ya kukubalika ktk jumuiya ya kimataifa.
Hapo joka kuu umesema kama msomi,nakubaliana na wewe 100% lakini kuna watu wamekuja kwa agenda zao zingine wakijifunika mwamvuli wa UN,ambo hawataki M23 kabisaaa,tena M23 kwao ni kajisababu tu,lakini nia yao ni kuishambulia rwanda,sasa M23 kuingia porini imeharibu plan yao.
 
Mkuu sijakuambia MONUSCO wanachimba madini.

Kuna habari kila siku tunasoma kuwa MONUSCO kazi yao ni kupora madini na kuuza ughaibuni na wala siyo kuwalinda raia Congo.

Inawezekana unachosema. Unajua hawa MONUSCO wana vikosi vijijini kabisa ambako kumejificha na huwa wanafanya patrol maeneo mbalimbali ambayo si rahisi kufikika. Hilo linawezekana kabisa. Bila shaka madini hayo huenda nayo wenyewe makwao, maana hapa GOMA hatujawahi kupata NYOKA (muuzaji madini mdogo wa rejareja) mwanajeshi wa MONUSCO.
 
Hawa watusi wanapokea msaada kutoka Rwanda na Uganda, eti sasa mazungumzo ya kuleta amani hufanyika Kampala chini ya usimamizi wa Kaguta Museveni! Ni kichekesho.

Hapo ndio tashangaa shilingi kuzama na meli kuelea baharini.
 
MUKAMASIMBA

Vipi hii kitu ?

Official Communiqué No. 063/M23/2013
Management Movement of March 23, denounces the strategy used by the Congolese government in the city of KIWANJA to infiltrate consisting of its military allies FDLR and Mai-May All dressed in civilian clothes to cause fighting with the intention of getting her for dead civilians killed by the M23 and justify, once again, the intervention of the Special Brigade of the United Nations against our soldiers.
For this time this strategy successful to GOMA, will not be reprinted KIWANJA because our movement has decided to leave the city and leave the safe management of MONUSCO forces.
Our Movement warns government forces and their allies that it will not tolerate a new military business from them on the positions held by our troops in anywhere else that would force us to change the defensive option that we imposed until now. And if mediation dialogue did not get an immediate cessation of hostilities for the resumption of talks in Kampala, our Movement would be obliged to withdraw its delegates in Kampala and organize against-scale offensive against all enemy positions.
Done at Bunagana, October 27, 2013
The Head of the Department of Communication and Media
Amani Kabasha

Hapo mkuu inabidi tusubiri kampala ndio tutajua kitakacho fuatia,lakini naona international community haitaki hawajamaa kutawanyikia maporini na kuanza izo attack zao za kuvizia kwani inaweza kU cost maisha ya majeshi mengi ya UN na inaweza kua vita ya muda mrefu.
 
Mkuu sijakuambia MONUSCO wanachimba madini.

Kuna habari kila siku tunasoma kuwa MONUSCO kazi yao ni kupora madini na kuuza ughaibuni na wala siyo kuwalinda raia Congo.

njoo na concrete facts mkuu. hayo mambo ya 'kuna habari', 'tunasoma' yanakupunguzia kiwango cha u Great Thinker
 
Aljazira wanadai zaidi ya wakimbizi 800,000 wamekimbilia ugandaje namba hii ni sahihi ya watu waliokimbia makazi yao?(yaani mtaani hapana watu kabisa)
 
Back
Top Bottom