Hivi hawa jamaa wa Kigali na Kampala wanadhani dunia kama chumba chao vile, kwamba wakiamua kufanya mambo yao chumbani then no one will know whether pay attention!Eti wakiingiza vikosi vyao, vita vitafika mpaka Kinshasa, wameshasahau kwamba hata Marekani imeondoa misaada ya kijeshi kwa Rwanda kutokana na issue ya M23. By the way, kwanini mtu awe na hasira na aje na mawazo ya namna hii kwa kufurushwa kwa M23 kwenye nchi ambayo si yao kama hana interests zake huko? Nyie watu, mnatumiaje vifo vya watu kujinufaisha nyie? Sio lazima muwe na Dhahabu, Almasi, Rwandanite, au whatever form of resources ili kuendelea. Ziko Nchi kibao zimeendelea huku zikiwa hazina resources za kutosha so better kuheshimu maisha ya watu waishi kwa amani katika nchi zao. Ni wazi sasa muwisho wa PK umefika, nasema umefika tena umekaribia sana. Watch out