Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

800,00 sidhani kwani kama ni BUNAGANA basi ule mji unakdiliwa kuwa na wakai wasizidi 200,000. Pia baadhi ya raia hawakukimbia maana jana wameoneshwa kwenye TV wakishangilia sana.

Aljazira wanadai zaidi ya wakimbizi 800,000 wamekimbilia ugandaje namba hii ni sahihi ya watu waliokimbia makazi yao?(yaani mtaani hapana watu kabisa)
 
Ningependa sana nionane na huyu bwana MUKAMASIMBA

 
Flash Hider, Respect! Asante kwa taarifa na staha. Nimesoma post baada ya post, mwanzo mwisho, mfululizo, Masaa zaidi ya mawili na nusu. Nimeelimika. Sasa naelewa vyema kwanini tuko huko.

Salute kwa JWTZ. Makamanda. Wazee wa kazi.
 
Nimesoma comments zako zote. I have concluded kuwa wewe ni interahamwe iliyokimbilia Tanzania . You cannot deny that.

kama ndiyo conclusion yako basi wewe uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana!
 
JOKA KUU umetaja kitu ambacho sikukieleza mwanzoni kuhusu historia ya mgogoro wa DRC. Inashangaza, Rwanda na Uganda walivamia kweli kwa nia ya kuichukua Kinshasa eti Kabila kawaondoa wahauri wake kutoka Rwanda. Kama mtu hataki ushauri unamlazimisha nini kama siyo ajenda ya siri? Bila Wazimbabwe, Angola na Namibia (SADC) leo huenda tungekuwa hatuzungumzii hali hii. Thanks JOKA KUU

 
Hakuna naweza kukujibu kwani nimekuta uko muhutu warwanda interahamwe inayo jifanya mtanzania please usinipotezee pumzi yangu.

najua ukweli unauma sana mukamasimba, endelea kuumeza taratibu tu kwani ndio utakaokuweka huru!
 
Jamani tusiyasemee ya kupigwa au kutokupigwa kwa kuangalia vitu vichache. Kisasa, uwezo Kijeshi haupimwi kwa kuangalia silaha, vifaa na uwezo wa wanajeshi wako tu. Mahusiano yako na nchi nyingine za kidunia na zinazokuzunguka, uchumi endelevu, geographical location ya nchi yako nk.

Mukammasimba vipi we jenerali wa kagame au? Naona unajiamini sana japo naipenda Rwanda na Kagame lakini siamini kama mna nguvu kiasi hicho
 
Hata mi sitaki kabisa walaaniwe watutsi wana wanawake wazuri sana, why walaaniwe? Afterall mi namkubali sana Kagame jamaa ana akili kaibadili rwanda kwa muda mfupi tu, sio kama Ccm huku bongo
kaibadili Rwanda kutokana na madini ya Congo.
 
Kuna mtu kani pm ati Flash Hider ni mtu wa pale Makumbusho geti jeusi kushoto kama unaenda mjini. Nilimkatalia,eti jamani ni kweliii! Mi sikumuamini kabisa! Hawa ni waongo,endelea kutuelimisha Flash Hider!
 
 
Last edited by a moderator:
[ALEYN;7704715]Uwe unaangaliaga Taharifa ya habari Mkuu.
[ Kaaazi kwelikweli]
 
najua ukweli unauma sana mukamasimba, endelea kuumeza taratibu tu kwani ndio utakaokuweka huru

"@mukamasimba amekatishwa ugali wake jamani atafanyeje sasa"
 
800,00 sidhani kwani kama ni BUNAGANA basi ule mji unakdiliwa kuwa na wakai wasizidi 200,000. Pia baadhi ya raia hawakukimbia maana jana wameoneshwa kwenye TV wakishangilia sana.

Unaambiwa walio kimbilia uganda,wanatokea sehemu mbalimbali kwani hata ituri kuna mapigano kati ya m18 na FARDC inawezekana idadi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…