MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Wewe usilinganishe M23 na hao wengine,M23 walikua na madai yenye uzito sio hao wauaji kwanza hao kwa kiasi kikubwa ndio walisababisha M23 kushika silaha.Kwahiyo, FDLR na ADF wakirudishwa makwao wata negotiate na serekali zao?
Vipi kunatangazo rwanda imetoa la kutofurahishwa na ushindi wa FIB?
vita ya kongo au sinto fahamu ni creation ya ug na rw ili kupata sababu za ku-distabilize drc, maana sjasikia hao Fdlr wakifanya fujo kwa drc au kuua hao banyamulenge hata hao mai mai hata kama wapo sio tishio, hao ADF- al shabab wa UG ni creation ya ug, sijaona domination ya uislam ug wa kufikia kufanya hayo, kwanza madai yao ni nini? kony iliuwa creation ya sudan. m23 na wengineo ni creation ya ug na rw. na kuchoma silaha na mengineyo ilikuwa juhudi ya kupoteza ushaidi wa source ya kusaidiwa na hizo nchi.
..waandishi wa magazeti na bloggers wa Rwanda wanaonyesha hawajafurahishwa na ushindi wa majeshi ya DRC na FIB. kwanini unafikiri hali iko namna hiyo?
..pia una maoni gani kuhusu pendekezo la kuanzishwa kwa some sort of "high-breed court" ambayo itatumika kuwashitaki watu kama Gen.Sultani Makenga na wenzake ambao wanatuhumiwa kwa war crimes??
Hata mimi sifurahii ushindi wao kama mtu binafsi kwani najua why hawajamaa waliamua kushika silaha kwani ni unyanyasaji wanaopata kutoka kwa FDLR na baadhi ya viongozi wa kijeshi wa DRC,lakini atleast sauti yao imesikika,kuhusu high-breed court lakini ya afrika naikubali sana watu wenyemakosa lazima waadhibiwe,lakini hiyo court isiwe politicised au influenced na politicians iwe independent.
..mbona naona court hiyo ikiwa na wazungu ndiyo nzuri?
..viongozi wa Kiafrika hawawezi kuisimamia mahakama hiyo.
..kwa mtizamo wako unadhani Charles Taylor alionewa??
Wewe usilinganishe M23 na hao wengine,M23 walikua na madai yenye uzito sio hao wauaji kwanza hao kwa kiasi kikubwa ndio walisababisha M23 kushika silaha.
Sasa M23 ni serikali ya wapi, waasi au ni majeshi ya tutsi, au ya Congo au ya rwanda???
Kwa yote matatu,M23 wameishahaidiwa kusikilizwa,DRC haiwezi pigana vita ya muda mrefu wakati wanahitaji kujitoa katika matatizo ya umasikini,UN inaogopa vita inaweza kutawanyika nakua regional war.kusimamisha vita ime gusa interest za pande zote,na bila kusahau mataifa makubwa yanayotaka ku exploit eneo lakivu wanahitaji usalama wa eneo hilo haraka iwezekanavyo.
Wewe usilinganishe M23 na hao wengine,M23 walikua na madai yenye uzito sio hao wauaji kwanza hao kwa kiasi kikubwa ndio walisababisha M23 kushika silaha.
Kwangu mimi wazungu siwakubali kwani mara nyingi wanakua na hidden agenda yakutaka kunyamazisha watu wanaokua kizingiti cha interest zao,kuhusu waafrika wanaweza kuisimamia sina shaka,kuhusu charles taylor kwakweli sijafuatilia case yake siwezi danganya.
mashoga wa kagame kazi mnayo, bado tutakuja kigali kuwapumulia kisogoni baada ya kazi nzuri ya goma! Endelea kusubiri
na historia inaonyesha wahutu wapo imara kuliko watusi . wahutu ndiyo waliowahi kuitawala rwanda na burundi kwa muda mrefu baada ya uhuru.
unaweza ukanitolea maandiko yoyote kuhusiana na hivyo vitendo toka katika vyombo vya habari vyenye kuaminika au jumuia ya kimataifa kama UN, zaidi ya propaganda za wezi wanayo iibia Congo.Mfano sijasikia hao ADF kupiga iwe kampala au mji wowote Uganda zaidi ya Kony, ambapo wakati ule Sudan walikuwa wanawasaidi. na Maj Saleh/Caleb alikuwa anatuhumiwa kula mahela kibao ya UPDF kisingizio ana msaka Kony, baada ya Hapo ame retire ana kula Kuku zake.Yani wewe sijui unatoka sayari gani?MamboFDLR na ADF wanayofanya dhidi ya wakongomani hujawahi yasikia?Hawa jamaa wanefanya matendo ya kinyama dhidi ya wakongomani tena sana.
Kweli unahamu na vita,sikuhizi vita kati ya nchi na nchi haiwezekani,bado unafikilia bado tuko wakati wa idd amin?
Mkuu mawazo ya vita kati ya Tz na Rwanda hatukuasisi waTanzania.
Soma mawazo ya General Kagame-the strongman........
"Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete]
you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging
negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I
will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place
and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my
answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is
impossible…""
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator
General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called "Youth Konnect"", sponsored by his wife, Janet Kagame."
Mkuu MUKAMASIMBA ndio maana tunauliza General Kagame sasa anasemaje juu ya huo usemi wake wa awali.
Bado ana munkari ile ile au kajionea the writing on the wall!!
3.watz wa JF mnasema watutsi ni wabaguzi ushaidi naombeni...???
Mkuu wewe sijui kama msinamo wako ni wawatazania wote,kwani sina uhakika kama watazania wata ku support kuingia vita na rwanda kwani si rahisi kama unavyo fikiria.
M23 ni wanajeshi wa congo walioaasi,kwa sehemu kubwa ni rwandaphone congolese called tutsi,kwanza walikua wakinyanyaswa jeshini na kuuwawa na wacongomani wenzao,kingine familia zao walikua wakinyanyaswa na kuuwawa na FDLR na maimai na serikali haikutoa ulinzi wowote bali walitoa silaha kwa hao wauaji,ikabi wakamate silaha ili wajilinde.
M23 ni wanajeshi wa congo walioaasi,kwa sehemu kubwa ni rwandaphone congolese called tutsi,kwanza walikua wakinyanyaswa jeshini na kuuwawa na wacongomani wenzao,kingine familia zao walikua wakinyanyaswa na kuuwawa na FDLR na maimai na serikali haikutoa ulinzi wowote bali walitoa silaha kwa hao wauaji,ikabi wakamate silaha ili wajilinde.