Tofautisha congo na tz,congo silaha ziko inje nje,wanatumia silaha kunyanyasa watu na serikali haitoi ulinzi wowote,hivyo iliwalazimu kushika silaha.
Yaani huko DRC nikipita barabarani naokota silaha tu??
Mbona raia wa kikongo hawana silaha ila m23 wanazo au Colonel MUKAMASIMBA ndiyo mwenye haki ya kuokota silaha barabarani hebu nijuze colonel
Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni. Walijiona wababe wa kivita katika nchi za maziwa makuu walisahau kuwa kuna Simba ililala fofofo kwa sababu ya amani iliyoko nchini. Pale alipoamshwa akapigane DRCna wanamgambo wa jamaa mara moja makunyazi ya izee yakawatoka ghafla usoni.
Jamani FLASH HIDER upo wapi, naomba updates za mambo yanayoendelea huko kwa sasa. Nasikia M23 wanarudishwa DRC ni kweli/
Uchumi uliopanda kwa Mali za wizi utapolomoka sasa. PK anajuta kuitukana Tz.
Kwa kweli hawa Watusi hasa wanaume wamejiharibia saana, mataifa yote sasa hivi kufanya nao biashara unatakiwa uwe mwangalifu, kwani hujui mwenzio hesabu zake zipo wapi, bahati nzuri bongo wali shtukiwa mapema, DRC, ndio sasa wana wajua, mtu moja kutumikia serikali tatu UG, RW na DRc? Kenya wameshindwa kwani Ukabila wa Kenya hakuna mgeni kupita au mgeni kuleta ukabila wake, UG walipenya sababu ya Binamu zao ndio wanaongoza njii
Pole sana sahau uchumi wa rwanda msingi wake ni uongozi makini,mbona tz inahayo madini lakini uchumi wake duni?.
hata mm namtafuta maana huyu FLASH HIDER alitupa ukweli angakuja pande za huku akutane na MUKAMASIMBA maana bado anapenda vita, ili waendelee kuvuna madiniJamani FLASH HIDER upo wapi, naomba updates za mambo yanayoendelea huko kwa sasa. Nasikia M23 wanarudishwa DRC ni kweli/
Nakwambia kuna vikundi zaidi 46 ndani ya kivu vyenye silaha,kwa ufupi huwezi kosa silaha zinauzwa kama karanga.
Mbona GDP per capital inaonekana bado rwanda inazidiwa na TZ. Na kwa muono wangu, kama GDP ya rwanda inazidiwa na tz basi warwanda ni masikini mno kulinganisha na watz, si unajua gdp inavyo tafutwa mkuu?
Ukilinganisha resources mlizonazo haifai kua na GDP ya kiwango hicho,kazi yenu kuonea wivu wengine na kusahau yenu.
Pole sana sahau uchumi wa rwanda msingi wake ni uongozi makini,mbona tz inahayo madini lakini uchumi wake duni?.
Ukilinganisha resources mlizonazo haifai kua na GDP ya kiwango hicho,kazi yenu kuonea wivu wengine na kusahau yenu.
Hiyo chuki mliyo nayo itawauguza ugonjwa wa moyo kwani njinsi walivyo ni mungu peke yake anaye weza kuwabadilisha kwani ni yeye aliye waumba hivyo na ataendelea kuwalinda dhidi ya watu wenye roho za chuki na kishetani,mungu wabariki watusi na wengine wote wenye roho ya upendo.
Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni. Walijiona wababe wa kivita katika nchi za maziwa makuu walisahau kuwa kuna Simba ililala fofofo kwa sababu ya amani iliyoko nchini. Pale alipoamshwa akapigane DRCna wanamgambo wa jamaa mara moja makunyazi ya izee yakawatoka ghafla usoni.
Nakwambia kuna vikundi zaidi 46 ndani ya kivu vyenye silaha,kwa ufupi huwezi kosa silaha zinauzwa kama karanga.
Karibu sana na ninawaomba ndugu zang, kwa haya ninayoyaona huku na kwa jinsi jamaa wanavyohangaika, tuitunze vyema amani tuliyonayo bila kujali mitazamo yetu kisiasa. Kuna siku nitawawekea baadhi ya picha muone jinsi watu wanavyopata tabu.