mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Mkuu MOKALA 1989 taratibu. Nilidhani baada ya mjadala mrefu huyu bwana atakuwa ameelewa.
muonee huruma bure, anafikiri askari wa monusco ni sawa na hao mgambo wa rwnda wenye uchu wa damu za watu na ngono.
interahamwe. Hivi wewe utarudi kwenu lini?
Roger Lumbala
On s'achemine lentement a la signature de l'Accord de Paix. relire ce que j'avais déclaré.
"Accord secret pour lequel Raymond Tshibanda et Kalev Mutomb ne voulaient pas que je participe a la commission Sécurité et défense dont je suis président aux négociations, cétait en partie la demande des USA au M23 de retirer ses troupes dans les agglomérations en contre partie que Kabila accepte de signer l'accord de paix en accordant l'amnistie générale pour fait de guerre et fait insurrectionnel, le retour des réfugiés congolais et surtout lintégration militaire et politique. Le général Makenga a rempli sa part de cet accord, les envoyés spéciaux du Conseil de sécurité, des USA, UE, UA, ainsi que la CIRGL qui ont facilité la résolution 2098 de la Brigade d'intervention de l'ONU exigent que Kabila remplisse la sienne. Kabila veut transformer la victoire diplomatique en victoire des FARDC."
Roger Lumbala On moving slowly a the signing of the peace agreement. Re-read what I said.
"Secret agreement for which Raymond Tshibanda and Kalev Mutomb did not want me to participate the commission security and defence which I Chair in the negotiations, it was in part the request of the USA to the M23 to withdraw its troops in the cities however part that Kabila agrees to sign the peace agreement in granting general amnesty for acts of war and insurrectionthe return of Congolese refugees and especially military and political integration. General Makenga has fulfilled its part of the agreement, the special envoys of the Security Council, of the USA, EU, AU, as well as the ICGLR which facilitated resolution 2098 of the Brigade of the United Nations require that Kabila meets his own. Kabila wants to transform the diplomatic victory to victory of FARDC."
interahamwe
Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.
wanaudhi sana ndugu yangu, lakini afadhali watanzania wengi na ulimwengu kwa ujumla tunaanza kuelewa vizuri tabia mbaya za watusi
Speak for yourself. Watanzania wengi tunapendana, tumeoana na tumezaa nao sio hapa wala tanzania. Ni wewe tu mwenye chuki itakayokutafuna mpaka siku ya kufa ndie mwenye kupiga makelele. Matatizo yote mliyonayo hapo kwenu sijawahi kukuona ukitoa comment yoyote. So, najua wanyarwanda walikufanyizia kwa hiyo unatafuta sympathy kwa watanzania ili wakusaidie urudi kwenu.
kwenye milima yote ile Bunagana, Ruchuri, kabla ya kufika mlima mbuzi ni usa walifanya kazi eh!
Hili ni janga,kwa watu waofikilia kuangamiza watusi msahau kabisa "watajaribu lakini hawatafaulu"huwezi mchukia binadamu mwenzako mungu akupe support kwa vyovyote vile atakufanyia kitu ambacho kitakudhalilisha mbele ya yule unaye chukia.
interahamwe
Interahamwe iliongozwa na mtutsi Robert Kajuga wakati wa genocide, lengo lake lilikuwa ni nini?
Wakiona vipi basi wote warudi Rwanda kwenye roots zao, wabanane huko huko au wajifunze uzazi wa majira. Nayasema haya kutokana na nyinyi kulalamika ovyo ovyo - kila siku mnadai mnaonewa, cha ajabu hamjawahi hata siku moja kukaa chini mkajichunguza tabia zenu 2wards binadamu wenzenu zikoje, mkifanikiwa kusahihisha/jirekebisha tabia zenu nakuhakikishia hakuna atakaye wanyoshea kidole. Kumbuka hakuna binadamu yoyote duniani ambaye anataka kuishi karibu na mtu ambaye yuko arrogant by default and highly unpredictable.
wanaudhi sana ndugu yangu, lakini afadhali watanzania wengi na ulimwengu kwa ujumla tunaanza kuelewa vizuri tabia mbaya za watusi
Kaka MUKAMASIMBA, haya tena kwangu ni mapya. USA ndo mamemaliza vita? Hakika ukiendelea kuwa mbishi hata kwa mambo ya wazi basi sidhani kama unafaa kuendelea kujadiliana na wana JF humu. M23 walikataa kusaini kule Kampala wakataka kuanzisha vita ili kuilazimisha Serikali itii matakwa yao. Mchezo huo wamekuwa wakiutumia mara kwa mara. Hapo ndiyo ukawa mwanzo wa vita na matokeo yake wakasambaratishwa wao. Toka vita ianze sijawahi kusikia habari ya USA. Kwanza sijawahi kuwaona USA hapa DRC toka nikae huku.
We mtanzania wa wapi?nilicho gundua watanzania halisi wala hawa neno lakini hii miterahamwe inatokwa povu ili wasiishitukie pole.
We mkulima nini? Umekosa cha kujibu unatokwa povu na matusi,pole sana waswahili husema asifiae mvua........unaweza kua shoga ndio maana!