murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 638
mkubali mkatae lazima mtafanya mazungumzo na chama cha ukombozi cha fldr tu
mkubali mkatae lazima mtafanya mazungumzo na chama cha ukombozi cha fldr tu
Mkuu Flash Hider, heshima yako mkuu.
Mimi nimekuta mjadala upo kileleni sasa lakini naomba kuuliza maswali makuu mawili.
Je huu mkataba ambao M23 wanasigana na Serikali ya DRC kwamba uitwe Peace Agreement au Vaguer Agreement kwamba kila mtu anajiona mwamba?
Swali la pili je unafikiri ni kwa vipi kutakuwepo udhibiti kwa baadhi ya waasi ambao kwa sasa wamesambaa nchi nzima baada ya wenzao kusalimu amri kwa maana kwamba bdo pengine wanazo silaha au ndio katika moja ya ubishani kutoka kwenye swali la kwanza?
Wacha wivuHivi huyu flash hider naona mmemfanya Kofi Anan! Ametuambia hapa kuwa yeye ana tubishara twake huko goma sasa haya ya kampala atajuaje? Akae dukani halafu afuatilie mambo huko Kampala. Biashara Goma ni madini tu kwa hiyo si ajabu hela zake ndizo zinachochea machafuko huko kwa kununua "blood minerals"
Mkuu Flash Hider, heshima yako mkuu.
Mimi nimekuta mjadala upo kileleni sasa lakini naomba kuuliza maswali makuu mawili.
Je huu mkataba ambao M23 wanasigana na Serikali ya DRC kwamba uitwe Peace Agreement au Vaguer Agreement kwamba kila mtu anajiona mwamba?
Swali la pili je unafikiri ni kwa vipi kutakuwepo udhibiti kwa baadhi ya waasi ambao kwa sasa wamesambaa nchi nzima baada ya wenzao kusalimu amri kwa maana kwamba bdo pengine wanazo silaha au ndio katika moja ya ubishani kutoka kwenye swali la kwanza?
Hivi huyu flash hider naona mmemfanya Kofi Anan! Ametuambia hapa kuwa yeye ana tubishara twake huko goma sasa haya ya kampala atajuaje? Akae dukani halafu afuatilie mambo huko Kampala. Biashara Goma ni madini tu kwa hiyo si ajabu hela zake ndizo zinachochea machafuko huko kwa kununua "blood minerals"
Wacha wivu
humu ndani tunachambua mengi tu ambayo bila kuwa na utaalam wa uchambuzi, utalaam wa mada husika na mara nyingi huwa tuko nje kabisa ya mfumo husika lakini bado tunafanya hivyo sasa kwa nini unafanya mchango wa mwenzako siyo kitu ?????
Siku hizi taarifa zote zipo kwenye mtandao. Mtandao upo wazi kwa yoyote mwenye interest. Nipo wazi na x-mass hii nitakuwa Tanzania MWENGE nyumbani kwangu. Wanaotaka kuwasiliana nami waje tu tudadiriane masuala ya biashara na mgogoro wa DRC na Maziwa makuu kwa ujumla, nitakuja na reference nyingi tu. Sihitaji kusema uongo kwa lolote na haina haja kunitilia wasiwasi.
Ukweli inaonekana ni umwamba ndani yake. Kumbuka awali M23 walipokuwa imara wao ndiyo walikuwa wanaitishia Serikali na wakati mwingine kukataa kusaini mkataba. Mara kadhaa wamekuwa wakitoka nje na kuacha mazungumzo. Sasa kama vile imegeuka. Serikali imeshinda vita hivyo haioni sababu za msingi za kukaa meza moja na M23. Wanachokifanya ni kutoa matakwa yao ambayo jamaa wapende wasipende serikali inataka lazima wayakubali. Ndiyo maana serikali imekataa hata term agreement kwa madai kuwa agreement huingiwa baina ya pande mbili, sasa M23 haipo tena inabidi iitwe Declaration. Magazeti ya leo yote hapa DRC yamesifu kitendo cha Serikali kukataa kusaini. Wacongoman wengi (wapenda amani) wanaona kuwa kusaini mkataba na M23 (ambao hawapo sasa) haina maana yoyote.
DRC ina zaidi ya vikundi 20 vyenye silaha. Vimesambaa maeneo mbalimbali hasa huku East. Kusambalatishwa kwa M23 logically kutakuwa kumewashtua kwani wao ndo kundi lililokuwa well organised. Sijajua reaction ya hayo makundi mengine ikoje.
it will never happen. We don't negotiate with terrorists.## #THE RWANDAN GOV'T MUST ACCEPT IT'S PEOPLE,IS THE LAND OF THERE ANCESTOR WHENEVER THIS HAPPEN BUT THEY SHOULD REMEMBER ONE DAY THEY WILL COME HOME FORCIBLY,SO NEGOTIATION iS BETTER FOR NOW
serekali ya DRC ime mshtukia mpatanishi, wamekata title ya mkataba wa amani. kwamba unawapa hifadhi wahalifu m23[/QUOTnE]
Mimi nilijua wazi hawa wazungu hawawezi kubali congo kua na amani,kwani kutokuwepo kwa amani itasababisha kabila kuendelea kuwahitaji ili wamlinde kwa tishio la kuibuka tena uasi wa M23 na kwahilo watamchota milele na milele.
Siku hizi taarifa zote zipo kwenye mtandao. Mtandao upo wazi kwa yoyote mwenye interest. Nipo wazi na x-mass hii nitakuwa Tanzania MWENGE nyumbani kwangu. Wanaotaka kuwasiliana nami waje tu tudadiriane masuala ya biashara na mgogoro wa DRC na Maziwa makuu kwa ujumla, nitakuja na reference nyingi tu. Sihitaji kusema uongo kwa lolote na haina haja kunitilia wasiwasi.
Well said Mkuu, hata mimi nilikuwa nataka kumpa tahadhali hiyo hiyo - kuna jamaa mmoja aliwahi kukuhuliza kwamba wewe ni mfanya biashara gani mwenye uelewa mkubwa kiasi hicho! Nafikiri alitumia term ya kwamba "watakupata au something close 2 that" wewe kama Mtanzania najua una uwezo mkubwa wa ku-cover your tracks, Kivu wamejaa mamluki wa PK na wengine wanajua kuzungumza kiswahili kwa ufasaha mkubwa kuwa mwangalifu/makini nao husi-entertain urafiki husio na kichwa wala miguu, tukija kwenye eneo la mtandao husijibu watu wanao ku-PM au wanao kueleza habari ambazo ni 2 good 2b true which's true - Mungu akulinde mkuu.Bwana Flash Hider, usijiweke wazi sana. usimwamini kila mtu kwenye mtandao huu mpaka uwe na uhakika naye sana. Wapo agents wengi wa PK hapa ambao wanaweza wakakuona sawa na wale wanajeshi wetu waliowapa kichapo hao wabakaji wanaojulikana kama M23.
ahahahhha sindio maana unasikia watanzania wanakufa,je uliisha sikia mu south amekufa? hapo utaelewa sababu,nilikua na shangaa jamaa humu akiuliza sababu gani wanakufa watanzania tu,sasa jibu umelitoa mwenyewe,wa south wao hawako tayari kufa.
Kwa wanaojua Kimombo na kufanya analysisi, soma hapa na tujadiliane. Habari hii kwa urefu ipo katika gazeti la New Times la Rwanda unaweza kuifuatilia zaidi. Kwani walijitoa na kwanini wanataka kurejea tena.
Rwanda is now seeking to rejoin the Economic Community of Central African States (Eccas) after it pulled out of the regional community of 10 Central African states composed of Angola, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Republic of Congo, DRC, Equatorial Guinea, Gabon and Sao Tome & Principe in 2007. Rwandan Ambassador to DRC, Amb Rugira is quoted in the newspaper as explaining that Kigalis chances of readmission are very high, and that it will be welcomed back to the regional bloc at its next heads of state summit, due to take place early 2014 in NDjamena. As for Rwandas decision of giving up its membership in 2007, the Ambassador explained that, having just joined the EAC, Kigali tried to concentrate on the Eastern African regional bloc.